Kweli wa Tanzania tumeshindwa hata kujenga bara bara za mwendo kasi wenyewe ? Bwawa sawa ni Complex project ila hata BRT roads hatuwezi

Dah kweli hatuna uwezo wa ku think.
 
Ishu ni kwamba bara zima hamna hata nchi moja ambayo ina bajeti ya maana inayokwenda kwenye utafiti na ubunifu (research & development)
Hatuhitaji mainjinia wetu wajenge barabara tu bali tungependa wajenge zilizo in tune na mazingira yetu
Kama kujenga barabara kilomita moja ni tshs bilioni moja basi waje na solution ya kujenga barabara yenye ubora kama hiyo kwa milioni 300 na kadhalika na kadhalika
 
Msiwanange graduates na walimu wao. Tatizo liko kwenye Fursat za kuwachukua na kuwajenga graduates kazini Ili wafikie level ya kufanya au kusimamia kazi.
Graduates anakua Bado anahitaji kupikwa vizuri kwenye mafunzo kazi au on the job training.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…