Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Miafrika ndivyo tulivyo: hatupendi kukazania mavitabu - cheki hapa
Kwa hiyo kila kitu wewe mavitabu tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miafrika ndivyo tulivyo: hatupendi kukazania mavitabu - cheki hapa
Kwa hiyo kila kitu wewe mavitabu tu?
Ukitaka kulificha kitu liafrika kiweke katikakati ya mavitabu maana ndivyo lilivyo, asili yake ni kutegemea zaidi fasihi simulizi kuliko fasihi andishi - kumbuka mimi ni miongoni mwa miafrika pia hivyo swali lako ndio lishajijibu lenyewe hivyo.
Hicho ambacho miafrika mnakitafuta ila hamkipati - namna ya kutokuwa mlivyo.
Miafrika ndivyo tulivyo: hatupendi kukazania mavitabu - cheki hapa
Mimi nitajuaje ilhali wamevificha kwenye mavitabu yao katika mimaktaba yao.
Companero:
Sometimes usifikiri kuwa hatujajiuliza au kupigani vile unavyozungumza. Tumewahi !!!
Okay, achana na wazungu basi....tuvumbue njia yetu sisi wenyewe itakayotufanya tuwe tusivyo....kwani kila kitu lazima tuige?
Mimi nitajuaje ilhali wamevificha kwenye mavitabu yao katika mimaktaba yao.
Lini sometimes nimefikiri hivyo? Mimi nawashangaa mnaongea mtadhani mavitabu yanashushwa kutoka mbinguni kama imla wakati mnajua yanatokana na hizi jamii na mazingira yetu. Hao kina Newton anaowasifia Nyani walikuwa juu ya mti wakaona tunda linaanguka wakakokotoa na kuandika mavitabu yao, yale ma-Principia Mathematika ambayo sidhani hata huyo Nyani kawahi kuyaona let alone kuyasoma! Naam hao kina Archimedes walikuwa wanaoga ghafla wakaona maji yanamwagika kumbe yana ukubwa sawa na ukubwa wake basi akalia Eureka na kuandika mabuku yenye nadharia za Archimedes ambazo zilikuja na kuzaa ma-Bernoulli Theorem. Sasa Erasto Mpemba wetu naye ghafla anaona maji yakiganda katika nyuzijoto tofauti na ile la kawaida badala ya kumkubali na yeye aandike mavitabu ya Mpemba effect tunabaki kulia miafrika ndivyo tulivyo na kuhoji kwa nini wengine wanang'ang'ania mabuku!
Now you are talking, let us start with kile ambacho tumeshakivumbua i.e. Ujamaa Mkongwe and then move toward Ujamaa Mamboleo utakao-usher a Tanzanian 'Renaissance' itakayofanya tufikiri, tubuni na tuvumbue sana.
Ngoja nikuulize swali moja. Kwanini kulikuwa na gap kubwa toka kipindi Archimedes na Galileo. Katika Gap hili Europe haikutoa schoolarship ya maana.
Companero:
Usichanganye juhudi na talents sasa. Kulikuwa na mkutano wa mambo ya cryptograph. Kuna professor mmoja ali-present unfinished paper yake. Na kwenye paper kulikuwa na mathematical equations ambazo kwa miaka miwili zilikuwa zinamsumbua. Kabla kumaliza paper mmoja wa wasikilizaji akanyoosha mkono na akaenda kushusha solutions. Watu wakawa wanaulizana namna gani vipi.
Shule zote nilizosoma bongo zilinifundisha juhudi na mitulinga. Na ndio maana sina hamu na shule tena.
Nitajuaje? Kwani mimi nilikuwepo wakati huo? Hiyo gap ningeionea wapi?
Mnatuchanganya sasa. Mara Miafrika ndivyo ilivyo - ni mivivu haina juhudi. Tukifanya juhudi mnasema ooh Miafrika ndivyo ilivyo - ni mijinga haina talanta. Hivi Newton aliyeona tunda linaanguka na kufanya juhudi ya kuelewa kwa nini ana tofauti gani kitalanta na Mpemba aliyeona maji yakiganda na kufanya juhudi uelewa kwa nini? Inaonekana unataka kurudi kwenye ile nadharia yenu na Du Bois ya Talented Tenth. Wote tuna talanta. Tusizifukie kama yule mtumishi!
Wajamaa