Kweli Waafrika Ndivyo Tulivyo - We Aint 'Capitalist Niggers'!

Kwa hiyo kila kitu wewe mavitabu tu?

Ukitaka kulificha kitu liafrika kiweke katikakati ya mavitabu maana ndivyo lilivyo, asili yake ni kutegemea zaidi fasihi simulizi kuliko fasihi andishi - kumbuka mimi ni miongoni mwa miafrika pia hivyo swali lako ndio lishajijibu lenyewe hivyo.
 
Utaficha nini cha maana kwenye likitabu?
 
Hicho ambacho miafrika mnakitafuta ila hamkipati - namna ya kutokuwa mlivyo.

Kwa hiyo namna ya kutokuwa mlivyo inapatikana katikati ya kitabu gani? Wazungu walikipata kutoka kwenye kitabu gani?
 
Miafrika ndivyo tulivyo: hatupendi kukazania mavitabu - cheki hapa

Companero:
Sometimes usifikiri kuwa hatujajiuliza au kupigani vile unavyozungumza. Tumewahi !!!.

Ninazo ideas nyingi tu kwanini tupo nyuma. Zote hizo ukiondoa moja ni za kujitetea. Na moja iliyobaki ya mazingira ni nadharia tupu kwa sababu sija-prove.

Miaka ya mwanzo kabla ya kuanza kwa IQ, walitumia appearance kuonyesha na mwenye fikra za kibunifu. Mwenye pua ndefu, kichwa cha mayai walionekana ni wenye akili. Hivyo waTutsi wakatukuzwa zaidi ya wabantu wengine.

WaChina na Asiatic wengine waka-prove wrong hii nadharia.
Avenues za sisi ku-prove wrong zipo nyingi sana. Miaka ya zamani, hata kwenye michezo tulikuwa hatutakiwi. Consistently kwenye michezo, tume-prove watu wrong. Kama tumeweza huko kwanini tusi-prove kwenye fani zingine.

Mpaka sasa, the abilities of african soccer players are legendary. Hakuna vifaa au makocha wa michezo lakini tunatoa wanamichezo. Kwanini tunashindwa ku-emulate mafanikio ya soccer, riadha kwenye mambo mengine.
 
Kwa hiyo namna ya kutokuwa mlivyo inapatikana katikati ya kitabu gani? Wazungu walikipata kutoka kwenye kitabu gani?

Mimi nitajuaje ilhali wamevificha kwenye mavitabu yao katika mimaktaba yao.
 
Okay, achana na wazungu basi....tuvumbue njia yetu sisi wenyewe itakayotufanya tuwe tusivyo....kwani kila kitu lazima tuige?
 
Companero:
Sometimes usifikiri kuwa hatujajiuliza au kupigani vile unavyozungumza. Tumewahi !!!

Lini sometimes nimefikiri hivyo? Mimi nawashangaa mnaongea mtadhani mavitabu yanashushwa kutoka mbinguni kama imla wakati mnajua yanatokana na hizi jamii na mazingira yetu. Hao kina Newton anaowasifia Nyani walikuwa juu ya mti wakaona tunda linaanguka wakakokotoa na kuandika mavitabu yao, yale ma-Principia Mathematika ambayo sidhani hata huyo Nyani kawahi kuyaona let alone kuyasoma! Naam hao kina Archimedes walikuwa wanaoga ghafla wakaona maji yanamwagika kumbe yana ukubwa sawa na ukubwa wake basi akalia Eureka na kuandika mabuku yenye nadharia za Archimedes ambazo zilikuja na kuzaa ma-Bernoulli Theorem. Sasa Erasto Mpemba wetu naye ghafla anaona maji yakiganda katika nyuzijoto tofauti na ile la kawaida badala ya kumkubali na yeye aandike mavitabu ya Mpemba effect tunabaki kulia miafrika ndivyo tulivyo na kuhoji kwa nini wengine wanang'ang'ania mabuku!
 
Okay, achana na wazungu basi....tuvumbue njia yetu sisi wenyewe itakayotufanya tuwe tusivyo....kwani kila kitu lazima tuige?

Now you are talking, let us start with kile ambacho tumeshakivumbua i.e. Ujamaa Mkongwe and then move toward Ujamaa Mamboleo utakao-usher a Tanzanian 'Renaissance' itakayofanya tufikiri, tubuni na tuvumbue sana.
 
Mimi nitajuaje ilhali wamevificha kwenye mavitabu yao katika mimaktaba yao.

Companero:

Usichanganye juhudi na talents sasa. Kulikuwa na mkutano wa mambo ya cryptograph. Kuna professor mmoja ali-present unfinished paper yake. Na kwenye paper kulikuwa na mathematical equations ambazo kwa miaka miwili zilikuwa zinamsumbua. Kabla kumaliza paper mmoja wa wasikilizaji akanyoosha mkono na akaenda kushusha solutions. Watu wakawa wanaulizana namna gani vipi.

Shule zote nilizosoma bongo zilinifundisha juhudi na mitulinga. Na ndio maana sina hamu na shule tena.
 
Lini sometimes nimefikiri hivyo? Mimi nawashangaa mnaongea mtadhani mavitabu yanashushwa kutoka mbinguni kama imla wakati mnajua yanatokana na hizi jamii na mazingira yetu. Hao kina Newton anaowasifia Nyani walikuwa juu ya mti wakaona tunda linaanguka wakakokotoa na kuandika mavitabu yao, yale ma-Principia Mathematika ambayo sidhani hata huyo Nyani kawahi kuyaona let alone kuyasoma! Naam hao kina Archimedes walikuwa wanaoga ghafla wakaona maji yanamwagika kumbe yana ukubwa sawa na ukubwa wake basi akalia Eureka na kuandika mabuku yenye nadharia za Archimedes ambazo zilikuja na kuzaa ma-Bernoulli Theorem. Sasa Erasto Mpemba wetu naye ghafla anaona maji yakiganda katika nyuzijoto tofauti na ile la kawaida badala ya kumkubali na yeye aandike mavitabu ya Mpemba effect tunabaki kulia miafrika ndivyo tulivyo na kuhoji kwa nini wengine wanang'ang'ania mabuku!

Ngoja nikuulize swali moja. Kwanini kulikuwa na gap kubwa toka kipindi Archimedes na Galileo. Katika Gap hili Europe haikutoa schoolarship ya maana.
 
Now you are talking, let us start with kile ambacho tumeshakivumbua i.e. Ujamaa Mkongwe and then move toward Ujamaa Mamboleo utakao-usher a Tanzanian 'Renaissance' itakayofanya tufikiri, tubuni na tuvumbue sana.

Nani kavumbua Ujamaa? wewe?
 
Ngoja nikuulize swali moja. Kwanini kulikuwa na gap kubwa toka kipindi Archimedes na Galileo. Katika Gap hili Europe haikutoa schoolarship ya maana.

Atakuambia ngoja kwanza akasome kitabu
 
Companero:

Usichanganye juhudi na talents sasa. Kulikuwa na mkutano wa mambo ya cryptograph. Kuna professor mmoja ali-present unfinished paper yake. Na kwenye paper kulikuwa na mathematical equations ambazo kwa miaka miwili zilikuwa zinamsumbua. Kabla kumaliza paper mmoja wa wasikilizaji akanyoosha mkono na akaenda kushusha solutions. Watu wakawa wanaulizana namna gani vipi.

Shule zote nilizosoma bongo zilinifundisha juhudi na mitulinga. Na ndio maana sina hamu na shule tena.

Mnatuchanganya sasa. Mara Miafrika ndivyo ilivyo - ni mivivu haina juhudi. Tukifanya juhudi mnasema ooh Miafrika ndivyo ilivyo - ni mijinga haina talanta. Hivi Newton aliyeona tunda linaanguka na kufanya juhudi ya kuelewa kwa nini ana tofauti gani kitalanta na Mpemba aliyeona maji yakiganda na kufanya juhudi uelewa kwa nini? Inaonekana unataka kurudi kwenye ile nadharia yenu na Du Bois ya Talented Tenth. Wote tuna talanta. Tusizifukie kama yule mtumishi!
 
Ngoja nikuulize swali moja. Kwanini kulikuwa na gap kubwa toka kipindi Archimedes na Galileo. Katika Gap hili Europe haikutoa schoolarship ya maana.

Nitajuaje? Kwani mimi nilikuwepo wakati huo? Hiyo gap ningeionea wapi?
 
Mnatuchanganya sasa. Mara Miafrika ndivyo ilivyo - ni mivivu haina juhudi. Tukifanya juhudi mnasema ooh Miafrika ndivyo ilivyo - ni mijinga haina talanta. Hivi Newton aliyeona tunda linaanguka na kufanya juhudi ya kuelewa kwa nini ana tofauti gani kitalanta na Mpemba aliyeona maji yakiganda na kufanya juhudi uelewa kwa nini? Inaonekana unataka kurudi kwenye ile nadharia yenu na Du Bois ya Talented Tenth. Wote tuna talanta. Tusizifukie kama yule mtumishi!

Huyo Mpemba kaishia wapi? kulima mahindi?
 
Back
Top Bottom