Kweli wanaume wa Dar mnatia aibu

sasa hii ndio Darisalama usikae kibwegebwege yaan kwa ushamba wenu mida hyo ya saa tano unajiachia unatoa hela nyingi mfukoni lazma wanaume wa Dar wakushughulikie siku nyingine mtajifunza mkija Dar
 
Kwa hapa ngoja niwatetee, katika maisha usije ukaingilia ugomvi ambao haukuhusu na hujui nini chanzo na ogopa kuwa shahidi wa jambo ambalo umeliingilia tu bila kuombwa.

Hata mimi ningewaacha na ugomvi wenu.
 
Umemaliza kila kitu nlichokuwa nawaza kuhusu huyu dada anavyotulalamikia wanaume wa dar. Sijajua ni dada au kaka anyway....kwanza ni aibu sana kupigana na teja halafu tena anasema ni punga kwa maelezo yake.sasa kweli mtu anikute napambana na mateja au mapunga si atanishangaa? Halafu ionekane tupo weng tunawapiga mapunga? Jamaa ametunga ila amejichanganya pia hakutulia kujipanga

 
Mheshimiwa Rais ameshatukataza wanaume wa Dar kuchoma wezi moto... Huku Dar mtu alikuwa akiitiwa mwizi, dakika mbili nyingi alikuwa ameshageuzwa kuni... Kwa hiyo tumeitikia wito wa mh Rais. Sasa hivi wezi woote wanafikishwa kwenye kituo cha polisi na sio kupigwa kama zamani... Nadhani hukuwa na hii update mkuu. Pole sana kwa kadhia hiyo...
 
Ushauri wangu sio kila sehemu ukiona wanauza chipsi ushuke kununua@ nafikiri ujifunze kupitia hilo tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ah Mtu Anaanika Ushamba Wake Hadharan Unafkr Nn! Mbeya Mjini Ikifka Saa Tatu Ucku Bado Unazurura Kitakachokukuta Uclaumu Watu, Arusha Kukabwa Saa11 Au 12 Jioni Co Kitu Cha Kushangaa. Af Et Mvuta Bangi Kalegea, Unaijua Bangi Ww? Mkija Mjini Muwe Mnauliza Msijfanye Wajuaji. Kuna Mama Alikabwa Airport Dar Saa11 Alfajir Na Magari Yanapita Hakuna Linalo Cmama Kumpa Msaada, Watu Wapo Kazn. Ukivamiwa Na Majambaz, Police Wanakuja Baada Ya Majambaz Kusepa. Ukilewa Chakali Ukazima, Wengine Watakusachi Na Wengine Watakulawiti, Ni Kuishi Kwa Hesabu Tu, Mnaolalamika Ni Wa Mikoani
 
acha kuwazalilisha wanaume wa Dar bhana sio kama hawakuwa na uwezo wa kukutetea walikuwa wanawafahamu hao vibaka ndio mana waliwaacha
 
Eti ninakula chips

Bila hata aibu

We wa mikoani siku nyingine utatafunwa siyo siri, chips waachie wenyewe na mamiregezo yao

Sasa ukianza na kupaka poda si ndo umekwisha tena, utaanzaje kurudi tarime
mkui kulikiwa hakuna namna nilishnda njaa toka asubuh kusubir gar itoke ndo nikakosa chakula mkuu nikaona sio mbaya kwa siku moja nile chakula chao
 
acha kuwazalilisha wanaume wa Dar bhana sio kama hawakuwa na uwezo wa kukutetea walikuwa wanawafahamu hao vibaka ndio mana waliwaacha
kweli mkuu hlo nililihisi
 
Sasa bro unashangaa nini? Hujui kwa nini Uturuki ya kibabe ilianguka? Sababu ilikuwa wanaume kugegedwa na wenzao huku wakibadilishana kwa zamu, wanaume wa Dar si lolote si chochote. Mtu alitobolewa macho, sembuse kuibiwa! Nguvu hawana tena kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kweli kabisa mkuu
 
Mbona hadithi yako haileweki Tabata hakuna kituo cha mafuta cha puma pili utawezaje kutoka Tabata sheli uelekee gongo la mboto bila kupitia buguruni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…