Hapo ndipo walipo rogwa hawa dadazetukumsamehe utamsamehe tu nakwambia labda hamkuoana lakini kuishi nae hilo uamuzi inategemea na mtu....upande mwingine wa shillingi hivi mwanamke katoka mbio miezi hata mitatu hujui yuko wapi akirudi anasamehewa na mumewe? Wapi? Tena utamkuta mwingne kashaolewa fasta! Hapo ndo huwa sielewi double standard imekaaje!
Hapo ndipo walipo rogwa hawa dadazetu
Mwenzangu kwani neno kusamehe wewe unalichukulia vipi?ukimsamehe anakupatia zawadi ya vvu bure,kwani hujui atokako
Mhhhhh!!! yahitaji Mungu kumsamehe mtu kama huyu. Nafikiri kwa msaada wa Mungu naweza kumsamehe, ila nafikiri sitaweza tena kuishi naye kama mume na mke. Ni ngumu sana.................
Akafie mbele hukoooo.........
mimi ile kumuona tu....ningehama mtaa....au hata huo mji.....khaa!
Makubwami ningemvuta chumbani ningempa ilekitu kaimiss for 7 years afu ndo maongezi yaanze baadaye
Yani kwanza wala siwezi kuzimia kwa ajili ya mtu km huyu,
Then nitamruhusu ajieleze,
Akimaliza nitamwomba atutoke nje,
Then nitamwambia ageuke nyuma kufuta njia iliyomleta na aende zake,
Na siku akirudi nyuma ile tena namwitia MWIZI.
Yani kwanza wala siwezi kuzimia kwa ajili ya mtu km huyu,
Then nitamruhusu ajieleze,
Akimaliza nitamwomba atutoke nje,
Then nitamwambia ageuke nyuma kufuta njia iliyomleta na aende zake,
Na siku akirudi nyuma ile tena namwitia MWIZI.
huwa una sababu za kumpenda mtu? (hapa naongelea mpenzi au mume).
Watoto km watamtaka baba yao wamfate anakopatikana,je akirudi kuja kuwajulia watoto hali napo itakuwaje?? kumbuka ametubu anatakiwa apewe japo nafasim fulani maana kuna sababu aliyofikia wakati wa maamuzi
Kwa mda wa miaka 7,nitakuwa nishamsahau na wala sitakuwa na hisia zozote juu yake,well, utamtimua, but will it make u feel better??
kwanini hisia na upendo wako juu yake ziwe zimepotea hivyo??
Je, huwezi msamehe mtu hata kama amekukosea vp??
hivi duniani kungekuwa hakuna kusamehe na kusahau unadhani dunia ingekuwa ni mahali salama pa kuishi??
Watoto km watamtaka baba yao wamfate anakopatikana,
Nyumba ile awe anaitizama kwa mbali tu akisogea jiran tu namwitia MWIZI,
Nitamsamehe makosa yake ila haimaanishi kuja kuishi na mm au kushirikiana kwa lolote,
Je mie mkewe ningeyafanya hayo angenipokea?
Tukisemea ule ukweli,inamaana nitaishi miaka saba bila kuwa na mwanaume?hapo nitadanganya,C ni kweli usemayo na udhaniyo lakini kama mtu amekuja kwako na kwanza amejutia na kuelewa suala alilolifanya bado naamini kama mke au mme unaweza ukampa muda kwanza kwani yakupasa ufikirie kwa kinanini kimemleta na kama amekiri makosa yake ni vyema uangalie na athari zilizojitokeza hivyo ni vyema ukakaa na kutulia na kufanya maamuzi hata kama si kwa kuishi nae kuna masuala lazima mwisho wa siku mtahitaji kushiriki
Tukisemea ule ukweli,inamaana nitaishi miaka saba bila kuwa na mwanaume?hapo nitadanganya,
Ni km yeye huko alikokuwa hakuwa ametulia tu lzm alikuwa na mtu,
Na km ni ishu ya kushiriki nae itakkuwa ngumu,ukiachia usalama wa afya nitakua simfeel tena,
Nakuishi kinafiki siwezi ni bora niwe muwazi simuhitaji maishn mwangu tena,
Watoto wake watenda huko aliko kumuona basi!
Hv ww angekuwa mkeo ndio anarudi baada ya miaka saba si utakuwa ushaoa na kuona?
Hebu kuwa mkweli bwana ,hiyo kitu ni ngumu sana aisee!
Acha kujastifai ww,najua we si malaika na inakuwa haijafungiwa hivyo kuwa na mtu ni sawa lakini naamini unaweza kuwa na fursa ya kukaa nae na ukamwelewesha wewe status yako na nini / kwa nini uliamua kuwa na mwingine na kwa vile yey nae aliondoka kwa kupata aliedhani ni bora .. kwa kumwelewesha kistaarabu hatodiriki kudhania kurudisha uhusiano papo kwa papo atahitaji muda hahahahah
Acha kujastifai ww,
Mie sitakuwa na cha kumwelewesha, nadhani hiyo itakuwa ni kazi ya ndugu zake,
Mie nitakuwa busy na aliyeniona na kunikubali wakati wa shida na matatizo yangu,
Tena km ni mie miaka mitatau naenda kuvunja ndoa mahakamani nakuwa huru kuwa namtu mwingine,
Nikishakuwa huru,na pale nahama kbs sitaki,km yy kidume kweli aje kunifata nyumbani kwa mwanaume mwingine aone shuhuli yake!