Tukisemea ule ukweli,inamaana nitaishi miaka saba bila kuwa na mwanaume?hapo nitadanganya,
Ni km yeye huko alikokuwa hakuwa ametulia tu lzm alikuwa na mtu,
Na km ni ishu ya kushiriki nae itakkuwa ngumu,ukiachia usalama wa afya nitakua simfeel tena,
Nakuishi kinafiki siwezi ni bora niwe muwazi simuhitaji maishn mwangu tena,
Watoto wake watenda huko aliko kumuona basi!
Hv ww angekuwa mkeo ndio anarudi baada ya miaka saba si utakuwa ushaoa na kuona?
Hebu kuwa mkweli bwana ,hiyo kitu ni ngumu sana aisee!