Kweli wasanii wamekubali WBC itawale muziki wa Tanzania peke yao?

Acha watawale cz hakuna namna nyingine zaidi ya kujielewa na kujituma katika kazi zao
 
Kutesa kwa zamu. Hata juma natute aliwika sana enzi zake. Bila kusahau kundi la akina GK etc
 
wasanii wengine wameridhika na kidogo walichopata awathubutu kuinvest
 
Wasanii wa Bongo flavor majina makubwa kichwani hamna kitu
 
PAMBANA NA HALI YAKO KAKA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…