Kweme ni matunda ya aina gani?

Kweme ni matunda ya aina gani?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Wakuu kweme ni matunda gani? Yana faida gani na wapi yanalimwa Tanzania?
1736248511160.jpeg
 
Ni mazuri, yakipikiwa kwenye maharagwe .... makande etc
Yanaongeza wingi wa libido ... janaba
 
Back
Top Bottom