Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Pia yapo Mwakaleli, wilayani Rungwe. Yanatambaa kwenye miti mikubwa. Wanyakyusa.tunayaita matando. Hubanikwa motoni au kwenye majivu ya moto.yana limwa pia mkoa wa songwe wilaya ya ileje ya kikoma hudondoka yenyewe
Ukikosea kubandua matabaka (layers) ya nje ili kupata tabaka la katikati linaloliwa, utapata uchungu mkali sana, si utamu.