kama yataonekana yanafaida kubwa mbona watu watakuja na teknolojia yakuyalima na namna yakuyabangua, changamoto kwa jambo lolote ndio fursa hiyo yakutengeneza maokoto.kuchakata kwake itakuwa garama, pia zinahitaji miti au chanja kwa ajili ya kujishikiza kama ilivyo mimea mingine inayotambaa