Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Pia yapo Mwakaleli, wilayani Rungwe. Yanatambaa kwenye miti mikubwa. Wanyakyusa.tunayaita matando. Hubanikwa motoni au kwenye majivu ya moto.yana limwa pia mkoa wa songwe wilaya ya ileje ya kikoma hudondoka yenyewe
Sahihi.Pia yapo Mwakaleli, wilayani Rungwe. Yanatambaa kwenye miti mikubwa
Iyee. Nyi makweme.😤makwame
makunguIyee. Nyi makweme.😤
Ndiyo. Mti wake (shina moja =Ikungu, mashina mengi = Makungu)ambao hutambalia miti mikubwa; tunda lake likikomaa(Kuiva) hudondoka na kupasuka. Ndani huwepo mbegu nyingi ambazo ndo Kweme au Makweme.makungu
Hongereni sana wagosi.Tanga wilaya ya lushoto mtae yapo kibao
Zinaweza kulimwa na kuwa mbadala wa alizeti na mawese?tunda lake likianguka baada ya kukomaa, chukua zile mbegu zioshe (zimezungukwa na vitu vichungu). Anika mbegu kwa muda wa siku 7 na zaidi inategemea na hali ya jua.
Chukua kisu menya ngozi ya nje iliyo kama nyavu, ili ikupe nafasi ya kuvunja vifuniko viwili vilivyoshikilia chakula kizuri kama karanga hivi.
Kweme ina mafuta sana, tulitumia kama mboga ya ugali au kuungia ndizi baada ya kukosa mafuta
Nimeyala sana kijijinitunda lake likianguka baada ya kukomaa, chukua zile mbegu zioshe (zimezungukwa na vitu vichungu). Anika mbegu kwa muda wa siku 7 na zaidi inategemea na hali ya jua.
Chukua kisu menya ngozi ya nje iliyo kama nyavu, ili ikupe nafasi ya kuvunja vifuniko viwili vilivyoshikilia chakula kizuri kama karanga hivi.
Kweme ina mafuta sana, tulitumia kama mboga ya ugali au kuungia ndizi baada ya kukosa mafuta
kuchakata kwake itakuwa garama, pia zinahitaji miti au chanja kwa ajili ya kujishikiza kama ilivyo mimea mingine inayotambaaZinaweza kulimwa na kuwa mbadala wa alizeti na mawese?
Kweme zinalimwa Kilimanjaro na hutumika kutengeneza mafuta ya kula kama ya karanga.View attachment 3195014
Siyo shida, hata zabibu zinalimwa kwenye chanja. Labda uzalishaji wake wa mafuta uwe kiwango kidogo sana.kuchakata kwake itakuwa garama, pia zinahitaji miti au chanja kwa ajili ya kujishikiza kama ilivyo mimea mingine inayotambaa
Kweme zipo miaka na miaka, miaka ya 70 kuna kiwanda huko Moshi kilitoa mafuta ya ya kula KIBO, ila hakikudumu.Dunia ina mengi mapya
Hii kitu sijawahi iona wala kuisikia kabla