S Sirlama Senior Member Joined Oct 6, 2024 Posts 176 Reaction score 352 Jan 8, 2025 #41 emmarki said: kuchakata kwake itakuwa garama, pia zinahitaji miti au chanja kwa ajili ya kujishikiza kama ilivyo mimea mingine inayotambaa Click to expand... kama yataonekana yanafaida kubwa mbona watu watakuja na teknolojia yakuyalima na namna yakuyabangua, changamoto kwa jambo lolote ndio fursa hiyo yakutengeneza maokoto.
emmarki said: kuchakata kwake itakuwa garama, pia zinahitaji miti au chanja kwa ajili ya kujishikiza kama ilivyo mimea mingine inayotambaa Click to expand... kama yataonekana yanafaida kubwa mbona watu watakuja na teknolojia yakuyalima na namna yakuyabangua, changamoto kwa jambo lolote ndio fursa hiyo yakutengeneza maokoto.