Kwenda kumuona Mama sasa imekuwa ni kama kiki na sio kwenda kumpa pole. Imekuwa ni kulazimishana lazimishana hivi. Cha ajabu wanajali zaidi waonekane kwenye picha zaidi ya kujali kusalimia. Camera za nini yaani huyo Mama siku nzima ni kukaa kwenye kiti na kupiga picha na watu. Hivi afya yake kuna ambaye anayejali