Kwenda kukopa nje na kufanya harambee kwa maendeleo kipi bora

Kwenda kukopa nje na kufanya harambee kwa maendeleo kipi bora

erasto Samwel

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
211
Reaction score
275
Naendelea kushangaa inafanywa harambee kwa ajili ya kampeni badala ya kufanya harambee ya kununua hata kipimo cha kuwapimia wajawazito damu bule kila wanaporudi kliniki badala ya sasa kila wanaporudi lazima uwe na 3000.

inawezekana kumbe tunaweza kufanya harambee ya kutengeneza miundo mbinu za barabara.kununua dawa, kilimo,kusababisha ajira ni.

Mnatafuta pesa za kuwadanganya wananchi na kuwanunulia tisheti na kofia na kuwapa pesa utafikiri ndio vipaumbele vyao
 
Back
Top Bottom