kwisha JF-Expert Member Joined Sep 9, 2021 Posts 1,793 Reaction score 5,053 Jan 19, 2023 #1 Kuna baadhi ya nchi Afrika na hata Ulaya na mabara mengine kwenda kupiga kura ni sawa sawa na kupoteza mda wako bure. Wananchi wanaweza kupiga kura kumchagua kiongozi wao wanaye mpenda wao wakapewa raisi mwingine tofauti na yule waliye mchagua.
Kuna baadhi ya nchi Afrika na hata Ulaya na mabara mengine kwenda kupiga kura ni sawa sawa na kupoteza mda wako bure. Wananchi wanaweza kupiga kura kumchagua kiongozi wao wanaye mpenda wao wakapewa raisi mwingine tofauti na yule waliye mchagua.
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,477 Reaction score 40,278 Jan 19, 2023 #2 Pole. Mm nilitaka kile kitambulisho just in case
S Showmax JF-Expert Member Joined Nov 18, 2022 Posts 6,589 Reaction score 12,767 Jan 19, 2023 #3 Kwani kuna diaspora huwa wanakuja afrika kupiga kura?
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 28,477 Reaction score 40,278 Jan 19, 2023 #4 Afrika kama China tu. Kura ni kula