Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Biblia haielekezi kujitangazani moja ya kukuhamasisha na kukumbusha huwe unatoa misaada kwa wasiojiweza
bila kutangazwa hata hiyo Biblia isingejulikanaBiblia haielekezi kujitangaza
Mkuu nimeweweseka hapa! Vipi huyu lakwake au lambandiko..?Kutoa ni moyo na sio utajiri. Camera au waandishi wa habari haziusiani na moyo wa mtu. View attachment 2743350
Patamu hapo...πbila kutangazwa hata hiyo Biblia isingejulikana
Ni sawa wakitangaza na kupiga picha makalio yao, ila misaada watoe kimya kimya πKutoa ni moyo na sio utajiri. Camera au waandishi wa habari haziusiani na moyo wa mtu. View attachment 2743350
Hahahaa umeshapozwa mkuu πMkuu nimeweweseka hapa! Vipi huyu lakwake au lambandiko..?
Lakwake hilo hamna kilichoongezwa.Mkuu nimeweweseka hapa! Vipi huyu lakwake au lambandiko..?
Sio kwelibila kutangazwa hata hiyo Biblia isingejulikana
Inabidi niwe mpole halafu kama ni hivi mbona ni halali tu wao kutumia media kwani Kuna tatizo lolote...πHahahaa umeshapozwa mkuu π
Dah! Hali si Hali hapa hoi tafrani! Nani anatumia hii engine kwasasa...?Lakwake hilo hamna kilichoongezwa.
Hakuna tatizo kutangazwa makalio yao maana huko ndiko hupatia vijihela vya kufanya maonesho ya makalio yao πInabidi niwe mpole halafu kama ni hivi mbona ni halali tu wao kutumia media kwani Kuna tatizo lolote...π
Uzi ubadilishwe mantiki Sasa tuhamie pale Adam alipokula tunda tuachane na kiwasakama malaika wa watu...πHakuna tatizo kutangazwa makalio yao maana huko ndiko hupatia vijihela vya kufanya maonesho ya makalio yao π
Ni mke na mwana wa rmwamba Majani mkazi wa chuga πSamahani mkuu....
Hao Paula na Kajala ndio wakina nani huko A-Tauni Chuga...??π€
Na picha zifutwe mtandaoni πUzi ubadilishwe mantiki Sasa tuhamie pale Adam alipokula tunda tuachane na kiwasakama malaika wa watu...π