Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Nilikutana na mmoja pale utawala nikasema ghono anipe tu. Ile pisi sio ya nchi hiimtoto mkali sana huyo, Gono yao ni soft soft, sawa na wale wa UDBS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikutana na mmoja pale utawala nikasema ghono anipe tu. Ile pisi sio ya nchi hiimtoto mkali sana huyo, Gono yao ni soft soft, sawa na wale wa UDBS
Gono kitu gani bana PowerCef si zipoNilikutana na mmoja pale utawala nikasema ghono anipe tu. Ile pisi sio ya nchi hii
Tusubiri, soon mzigo mpya.Gono kitu gani bana PowerCef si zipo
UDBS kuna vyuma hatari sana, kama hazinyi vile
kipindi nasoma pale, wazee wa ndinga mnakuja mnapaki jioni , totoz kali zinaingia, zinaenda unga vikojoleo, mda huo niko zangu Hall-5 nimejilalia
Vipi wewe ushatoka kiasi gani bila media?Kwenda kutoa msaada huku ikiwa na kundi la waandishi wa habari ni unafiki mkubwa.
Hivi ndivyo walivyofanya Paula na Kajala wakitoa misaada kwa watu wasiojiweza huko Arusha ambapo mpango huo kabambe unaongozwa na Irene Uwoya ikiwa ni moja ya hatua za kurudisha shukrani kwa wakazi wa Arusha baada ya kumpa ushirikiano mzuri katika maandalizi ya Filamu yake mpya ya OLEMA tangu ilipoanza mpaka kumalizika.
Ingekuwa sawa endapo wangetoa hiyo msaada kimya kimya, na Mungu angewabariki hakika. View attachment 2743348
😂So anaumia kisa baba ake hafatwi na paparazzihao ni mastar kubali kataa camera zinawafuata wanataka kuuza habari vimba chukia pasuka ila ndio life yao...hao waandishio wanakula kwa kutuletea picha na habari kutoka kwa hao watu.....ungesema babako aende kutoa msaada awaite waandishi au apige picha na kupost ...hapo ungesema si sawa.... waandishi wanaomba na kulipa kuitwa kwenye matukio ya mastar...