Kwenda kutoa msaada huku ikiwa na kundi la waandishi wa habari ni unafiki

Na ni ushamba pia
 
Wivu tu
 
Kama katumia gharama zake na kaamua iwe hvo basi tumuache afanye, ww nae fanya mpanga uza vitunguu vyako kusanya kibunda katoe msaada kimya kimya.

Ni uhuru wa mtu binafsi kama maandiko yanakataza huenda yy haamini huko inakuaje we umhukumu kwa ambacho hakiamini? Dunia iko huru kila mtu afanye anachojiskia kikubwa asivunje sheria
 
Kwangu haina shida yoyote as long as kuna watu wanasaidika.
 
Mi sioni tatizo wakifanya hivyo.Ipo misaada mingi Sana ambayo wameshawahi kuitoa nyuma ya camera.
 
Mi sioni tatizo wakifanya hivyo.Ipo misaada mingi Sana ambayo wameshawahi kuitoa nyuma ya camera.
Kama hipi? Na wapi walifanya hivyo, au waliposaidiwa na mmakonde ndio hawakuita waandishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…