Kwenda kutoa msaada huku ikiwa na kundi la waandishi wa habari ni unafiki

Tusubiri, soon mzigo mpya.

View attachment 2743903
kipindi nasoma pale, wazee wa ndinga mnakuja mnapaki jioni , totoz kali zinaingia, zinaenda unga vikojoleo, mda huo niko zangu Hall-5 nimejilalia

Nasema hivi, Ntalipiza mda ule wote niliopoteza pale
UTI ya mtoto wa UD haiwezikua sawa na UTI ya demu wa Mwananyamala, Ebo
 
Vipi wewe ushatoka kiasi gani bila media?
 
hao ni mastar kubali kataa camera zinawafuata wanataka kuuza habari vimba chukia pasuka ila ndio life yao...hao waandishio wanakula kwa kutuletea picha na habari kutoka kwa hao watu.....ungesema babako aende kutoa msaada awaite waandishi au apige picha na kupost ...hapo ungesema si sawa.... waandishi wanaomba na kulipa kuitwa kwenye matukio ya mastar...
 
😂So anaumia kisa baba ake hafatwi na paparazzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…