relax dear ..hujanielewa...ni sawa kwenda na vitanda ,masofa, majiko.maradio .matv ondoa mavyombo hayo ...yaani ni nini hasa at least mtu aende nacho au vyote vyote ni sawa ? na haina shida?Wanawake wa siku hizi ni wa-binafsi sijapata kuona! Yaani kaletewa zawadi za kitchen party (whether from China ama from US haijalishi!). Anataka aziache kwao aende na bag la nguo tu kwa mumewe?
Nikuulize swali mamito, ulishawahi kumuona baba yako amekuja home na vijiko katoka kununua? Unaelewaje maana ya mke kuwa msaidizi wa mumewe? Umesema kijana hajajenga, wakianza maisha na vitanda na mashuka ya zawadi, huoni ni chance yao kuwekeza kwenye ujenzi kwa nguvu moja?
No wonder ndoa zinawashinda ndani ya miezi mitatu. Acheni maisha ya maigizo! Huyo mwanaume kuna siku ataamka hana mia! Na ni kazi yako kumsitiri na sio kumkimbia! Zinduna nalo sijui limejificha wapi, hebu rudi huku ufunde wadogo zako!
yaani hakupewa vyombo tu hadi vitanda yaani kila kitu
loh aiseee..wewe binti yako akiolewa utafanya hivo?Ndio vizuri Smile.Nadhani hiyo familia ya mwanamke ni waelewa sana.Mbaya ni pale mwanaume anapoenda kukaa kwenye nyumba ya mwanamke.Mara nyingi huwa inamfanya mwanaume kuwa mnyonge.Na huyo kaka kama ana akili basi ajitahidi ajenge.
Wanawake wa siku hizi ni wa-binafsi sijapata kuona! Yaani kaletewa zawadi za kitchen party (whether from China ama from US haijalishi!). Anataka aziache kwao aende na bag la nguo tu kwa mumewe?
Nikuulize swali mamito, ulishawahi kumuona baba yako amekuja home na vijiko katoka kununua? Unaelewaje maana ya mke kuwa msaidizi wa mumewe? Umesema kijana hajajenga, wakianza maisha na vitanda na mashuka ya zawadi, huoni ni chance yao kuwekeza kwenye ujenzi kwa nguvu moja?
No wonder ndoa zinawashinda ndani ya miezi mitatu. Acheni maisha ya maigizo! Huyo mwanaume kuna siku ataamka hana mia! Na ni kazi yako kumsitiri na sio kumkimbia! Zinduna nalo sijui limejificha wapi, hebu rudi huku ufunde wadogo zako!
nadhani wewe ni bachelar kama mimi ngoja wenye ndoa wajeMume alipigiwa sim na mkewe,mazungumzo yakawa hivi
Mke:Uko wapi
Mume: (kwa saut ndogo)subir ntakupigia.
Mke:najua upo kwa mahawara zako tu wewe,yaani we mwanaume mi sikupendi,sikupendi,sikupendi,najuta kwanini niliolewa na wewe
Mume:niko kwenye foleni hapa benki
Mke:aaaa my love umejuaje kama sina hela,naomba unletee walau kalaki kamoja tu,navokupenda wala sijui nisemeje,usisahau kuja na soseji na chips.
Mume:nipo kwenye foleni ya BENKI YA KUTOLEA DAMU
Sasa king'ast huu ni mfano tu wa wanawake walivyo wabinafs
hebu nipe faida na hasara in deep mkuu
sikuelewi mkuu msimamo wako mbona hapo juu umesema ni sawa mke kwenda navyo ?mke anaweza akawa mkali sana kwenye matumizi ya vile vitu,,,,,some tym ndugu wa mume watakua na wakat mgumu sana kwenye kuvitumia,,,,,,,,,
pia mikwaruzano kidogo,,,,,,masimango yanaamia kwenye VITU
nadhani wewe ni bachelar kama mimi ngoja wenye ndoa waje
sikuelewi mkuu msimamo wako mbona hapo juu umesema ni sawa mke kwenda navyo ?
Nini binti yangu??mimi mwenyewe ntafanya hivo.............loh aiseee..wewe binti yako akiolewa utafanya hivo?