Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,619
Helo my dears
kwanza nianze na story hii
juzi nilienda kwenye kitchen party ya rafiki .wakati wa zawadi mamayake kumbe alienda china kafungasha contena lina kila kitu cha ndani kilazagazaga
vitanda,magodoro ,sofa ,majiko ,friji ,radio ,matv, taulo …yaaanikila kitu ambacho kinatakiwa kiwe ndani ya nyumba ya mtu hadi kijiko
kijana aliemuoa huyo dada ni mtu wa kawaida tu kwa kweli ,hata kujenga bado
sasa najiuliza hili limekaaje wadau
hivi ni sawa kwa mwanamke ukiolewa kwenda na kila kitu kwamume… au ni vizuri kwenda na begi lako la nguo tu?
 
kwa nini uende na begi la nguo?
ndoa ni ya watu wawili...
mnaishi wawili....
kwenye shida na raha, karaha na furaha....mmoja akianguka mwingine amuinue...

unapoenda na begi lako la nguo vitu vyako atumie nani? mende?
halafu waanze kujipiga piga kununua vitu ambavyo umeviacha home? isee...
yaani huyo binti mama yake kambusti sana, hapo wajipige wanunue kiwanja wajenge....hawana shida ya kununa sofa wala friji kazi ni kwao....

ooopphs kwa kukujibu ukiolewa unaenda na vitu vyako my dear, ndo maana wengine wanaulizwa kwako hakuna nini tukununulie, maana yake aangalie alivyonavyo bi harui, then alivyonavyo bwana harusi kilichomiss ndo anunue....

Smile mi nadhani vyovyote itakavyo kuwa siyo tatizo ila itategemea kiini cha hiyo ndoa ni nini, kama mwanaume amekupendea hayo mazagazaga ni vizuri uende nayo maana ndoa itakushinda.
 
Last edited by a moderator:
Wanawake wa siku hizi ni wa-binafsi sijapata kuona! Yaani kaletewa zawadi za kitchen party (whether from China ama from US haijalishi!). Anataka aziache kwao aende na bag la nguo tu kwa mumewe?

Nikuulize swali mamito, ulishawahi kumuona baba yako amekuja home na vijiko katoka kununua? Unaelewaje maana ya mke kuwa msaidizi wa mumewe? Umesema kijana hajajenga, wakianza maisha na vitanda na mashuka ya zawadi, huoni ni chance yao kuwekeza kwenye ujenzi kwa nguvu moja?

No wonder ndoa zinawashinda ndani ya miezi mitatu. Acheni maisha ya maigizo! Huyo mwanaume kuna siku ataamka hana mia! Na ni kazi yako kumsitiri na sio kumkimbia! Zinduna nalo sijui limejificha wapi, hebu rudi huku ufunde wadogo zako!
 
relax dear ..hujanielewa...ni sawa kwenda na vitanda ,masofa, majiko.maradio .matv ondoa mavyombo hayo ...yaani ni nini hasa at least mtu aende nacho au vyote vyote ni sawa ? na haina shida?
 
yaani hakupewa vyombo tu hadi vitanda yaani kila kitu

Ndio vizuri Smile.Nadhani hiyo familia ya mwanamke ni waelewa sana.Mbaya ni pale mwanaume anapoenda kukaa kwenye nyumba ya mwanamke.Mara nyingi huwa inamfanya mwanaume kuwa mnyonge.Na huyo kaka kama ana akili basi ajitahidi ajenge.
 
Last edited by a moderator:
Imekaa Poa tu Maamuzi tu. mambo ni kuambatana na mume na mke... Mke akienda na vitu Inaweza kuwa ni vizuri au Vibaya kwani kila kitu kina faida na hasara zake
 
loh aiseee..wewe binti yako akiolewa utafanya hivo?
 
Imekaa Poa tu Maamuzi tu. mambo ni kuambatana na mume na mke... Mke akienda na vitu Inaweza kuwa ni vizuri au Vibaya kwani kila kitu kina faida na hasara zake
hebu nipe faida na hasara in deep mkuu
 
Wanawake wa siku hizi ni wa-binafsi sijapata kuona! Yaani kaletewa zawadi za kitchen party (whether from China ama from US haijalishi!). Anataka aziache kwao aende na bag la nguo tu kwa mumewe?

Nikuulize swali mamito, ulishawahi kumuona baba yako amekuja home na vijiko katoka kununua? Unaelewaje maana ya mke kuwa msaidizi wa mumewe? Umesema kijana hajajenga, wakianza maisha na vitanda na mashuka ya zawadi, huoni ni chance yao kuwekeza kwenye ujenzi kwa nguvu moja?

No wonder ndoa zinawashinda ndani ya miezi mitatu. Acheni maisha ya maigizo! Huyo mwanaume kuna siku ataamka hana mia! Na ni kazi yako kumsitiri na sio kumkimbia! Zinduna nalo sijui limejificha wapi, hebu rudi huku ufunde wadogo zako!

Mume alipigiwa sim na mkewe,mazungumzo yakawa hivi
Mke:Uko wapi
Mume: (kwa saut ndogo)subir ntakupigia.
Mke:najua upo kwa mahawara zako tu wewe,yaani we mwanaume mi sikupendi,sikupendi,sikupendi,najuta kwanini niliolewa na wewe
Mume:niko kwenye foleni hapa benki
Mke:aaaa my love umejuaje kama sina hela,naomba unletee walau kalaki kamoja tu,navokupenda wala sijui nisemeje,usisahau kuja na soseji na chips.
Mume:nipo kwenye foleni ya BENKI YA KUTOLEA DAMU
Sasa king'ast huu ni mfano tu wa wanawake walivyo wabinafs
 
nadhani wewe ni bachelar kama mimi ngoja wenye ndoa waje
 
hebu nipe faida na hasara in deep mkuu

mke anaweza akawa mkali sana kwenye matumizi ya vile vitu,,,,,some tym ndugu wa mume watakua na wakat mgumu sana kwenye kuvitumia,,,,,,,,,
pia mikwaruzano kidogo,,,,,,masimango yanaamia kwenye VITU
 
sikuelewi mkuu msimamo wako mbona hapo juu umesema ni sawa mke kwenda navyo ?
 
Back
Top Bottom