Kha kwani umeanza kunichoka Hubby yaani kibabu kile niende nacho wapi mie wewe??
Duh! Ana vigimbi huyo!
Mwita Maranya aise hizi mambo acha bana fanya kama hujaona vile
Orayt... kwahiyo wazee wazima tumekubaliana, Yummy nakuachia. Si ndio? Au tumpige chini wote?Mpaka hapo kashachemsha
mtu anatongoza toka mwezi januari mpaka leo hajapata KARIA kaogee vumbi aise Dena Amsi achana na babu Asprin bana anakuonea wivu mpaka roho inataka kutoka Yummy acha ukigeugeu mara leo uko lushoto kesho uko mbeya Erickb52 we wivu utakuua utapata brain konkosheni very soon Asprin wazee wazima huwa hawabishani kwenye umati mbele ya watoto kama akina KARIA na Erickb52 mambo yetu huwa tunamalizia kwenye viti virefu na tunashikana mikono ya amani
Ukibishana hapa akina Erickb52 wanapata wasi wasi
Wewe acha tu nilitaka kuzimia na kukasirika nisikupikie chakula leo jioni........
Me Love you sana My Lovely Husband
Wewe acha tu nilitaka kuzimia na kukasirika nisikupikie chakula leo jioni........
Me Love you sana My Lovely Husband
Mwita Maranya hapo umenena.......sasa namshangaa babu anakuja juu wakati ni vizuri kabisa kulitambua hiloMkuu Mr Rocky unajua hizi ni zama za ukweli na uwazi na hivi juzi kati tumeongezewa kibwagizo kingine cha tuko wangapi? kwahiyo ni muhimu kufahamiana nani yuko wapi...!!!
Kama una ubavu huo!kwa hiyo unamaanisha nini tuchimbe hayo magimbi au?
Mkuu Mr Rocky unajua hizi ni zama za ukweli na uwazi na hivi juzi kati tumeongezewa kibwagizo kingine cha tuko wangapi? kwahiyo ni muhimu kufahamiana nani yuko wapi...!!!
Acha longolongo weweeeee...........kama we umeshindwa acha wenzio wafaudu aluuuuuu. Na huwezi mkonvinsi Mr Rocky aachie ngazi ujue
Asprin kikao cha leo si unajua kiko wapi aiseOrayt... kwahiyo wazee wazima tumekubaliana, Yummy nakuachia. Si ndio? Au tumpige chini wote?
Ushauri wangu bora mumpige chini wote! Ili wengine wajinafasi kwa nafasi!
Mwita Maranya huyu nimetoka nae mbali aise hata kwa greda hatoki hapashem we nae kwa kujigonga gonga kha!! jamaa anakutolea nje hadharani lakini we bado umo tu. Au ndio ile kitu ya ushauri wa mzee Mtambuzi ya king'ang'anizi?