Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Kha kwani umeanza kunichoka Hubby yaani kibabu kile niende nacho wapi mie wewe??

my wife my dear wife yaani nikuchoke wewe
kuliko kukuchoka wewe bora nijinyonge na big g kabisa aise
Yaani nakupenda na kukulove at the same time
ni wewe tuu mke wangu kipenzi Dena Amsi
Najua kibabu kama Asprin hakufai kabisa na wala hana ubavu wowote kwako
 
Last edited by a moderator:
ahahahah!....

jembe langu mzee wa mafoootoooooz
 
my wife my dear wife yaani nikuchoke wewe
kuliko kukuchoka wewe bora nijinyonge na big g kabisa aise
Yaani nakupenda na kukulove at the same time
ni wewe tuu mke wangu kipenzi Dena Amsi
Najua kibabu kama Asprin hakufai kabisa na wala hana ubavu wowote kwako

Wewe acha tu nilitaka kuzimia na kukasirika nisikupikie chakula leo jioni........

Me Love you sana My Lovely Husband
 
maisha kusaidiana!huyo kaokoa jahazi,balaa siku anasema hakutaki kakuacha na anachukua kila kilicho chake!
 
Orayt... kwahiyo wazee wazima tumekubaliana, Yummy nakuachia. Si ndio? Au tumpige chini wote?

Acha longolongo weweeeee...........kama we umeshindwa acha wenzio wafaudu aluuuuuu. Na huwezi mkonvinsi Mr Rocky aachie ngazi ujue
 
Last edited by a moderator:
Mpaka hapo kashachemsha
mtu anatongoza toka mwezi januari mpaka leo hajapata KARIA kaogee vumbi aise Dena Amsi achana na babu Asprin bana anakuonea wivu mpaka roho inataka kutoka Yummy acha ukigeugeu mara leo uko lushoto kesho uko mbeya Erickb52 we wivu utakuua utapata brain konkosheni very soon Asprin wazee wazima huwa hawabishani kwenye umati mbele ya watoto kama akina KARIA na Erickb52 mambo yetu huwa tunamalizia kwenye viti virefu na tunashikana mikono ya amani
Ukibishana hapa akina Erickb52 wanapata wasi wasi
Orayt... kwahiyo wazee wazima tumekubaliana, Yummy nakuachia. Si ndio? Au tumpige chini wote?
 
Last edited by a moderator:
Wewe acha tu nilitaka kuzimia na kukasirika nisikupikie chakula leo jioni........

Me Love you sana My Lovely Husband

Me love you three my dear wife
Mwache Erickb52 apate wivu hapa
ameachwa na wake zake wote na kwa sasa kaamua kwenda kukaa kwa mromboo mawazo yake anawategea akina cacico wakienda kununu anyama awavamie
 
Last edited by a moderator:
Wewe acha tu nilitaka kuzimia na kukasirika nisikupikie chakula leo jioni........

Me Love you sana My Lovely Husband

shem we nae kwa kujigonga gonga kha!! jamaa anakutolea nje hadharani lakini we bado umo tu. Au ndio ile kitu ya ushauri wa mzee Mtambuzi ya king'ang'anizi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Mr Rocky unajua hizi ni zama za ukweli na uwazi na hivi juzi kati tumeongezewa kibwagizo kingine cha tuko wangapi? kwahiyo ni muhimu kufahamiana nani yuko wapi...!!!

Kuna mambo mengine inabidi ukiliona unafunga macho kama hulioni vile Mwita Maranya maana unaweza pata brain konkosheni bure

Acha longolongo weweeeee...........kama we umeshindwa acha wenzio wafaudu aluuuuuu. Na huwezi mkonvinsi Mr Rocky aachie ngazi ujue

Mwambie mwambie my wife Yummy maana naona babu karibu roho imtoke

Orayt... kwahiyo wazee wazima tumekubaliana, Yummy nakuachia. Si ndio? Au tumpige chini wote?
Asprin kikao cha leo si unajua kiko wapi aise
samaki samaki au wapi mkuu
 
Last edited by a moderator:
Me love you three my dear wife
Mwache Erickb52 apate wivu hapa
ameachwa na wake zake wote na kwa sasa kaamua kwenda kukaa kwa mromboo mawazo yake anawategea akina cacico wakienda kununu anyama awavamie

Erickb52 ni mtoto anahangaika...................

Wazee wazima tumetulia ........................

Yummy kaenda wapi?? Alikuaga?? Kuna kesi naona hapo anatakiwa kuijibu simpati kwenye simu
 
shem we nae kwa kujigonga gonga kha!! jamaa anakutolea nje hadharani lakini we bado umo tu. Au ndio ile kitu ya ushauri wa mzee Mtambuzi ya king'ang'anizi?
Mwita Maranya huyu nimetoka nae mbali aise hata kwa greda hatoki hapa
Hao wengine ni wakuja na kuondoka ile yeye ni wa kufa na kuzikana
So na wewe usilete za kuleta hapa au na wewe unataka uingie kwenye ligi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom