Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Nilipokuwa bachela nilikuwa na GF kila akija kunitembelea lazima aache kitu....baada ya mwezi nyumba imejaa makorokoro yake.....Tuliposhindwana akaja na FUSO kuhamisha mali zake....hapo hatujaoana wala hakuhamia rasmi kwangu
waache wapenda bure washabikie mkuu,,,hawatujui wanawake tulivo? hadi kitanda ulalie cha mamamkwe?
 
Mwita Maranya, kwani kule kwenu mmeacha tabia ya kupiga wanawake na kuwakata masikio? Mie naogopa kukatwa masikio na hata kuchapwa makofi. Nahofia hayo kwa sababu najijua mie ni mbishi flani hivi. Sasa nisije nikakubishia kitu ikala kwangu. Naenda salon nikirudi natumai ntakuta maelezo yanayoeleweka.
 
Last edited by a moderator:
Shem nitake radhi nani kanitolea nje??? My Husband??? Wewe nakupa ten minute uwe umeomba radhi la sivyo na report abuse Mr. Rocky hebu mwambie huyu jamaa

Ha ha haa kweli mapenzi ni upofu.
Huyu jamaa unayemlilia hapa si ametangaza waziwazi kwamba yeye na Yummy hata kwa ndumba hawaachani? mi nilikuwa natoa ushauri wa bure tu, ukitaka unaacha!!!
 
Last edited by a moderator:
Dah na wivu umenijaa kwa Yummy coz tangu nimkague huwa namuwaza sana aisee
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haa kweli mapenzi ni upofu.
Huyu jamaa unayemlilia hapa si ametangaza waziwazi kwamba yeye na Yummy hata kwa ndumba hawaachani? mi nilikuwa natoa ushauri wa bure tu, ukitaka unaacha!!!

Unaongea umekariri au unaelewa?? Yummy muulize vizuri akueleze kuwa yeye ni mdogo kwangu
 
mwaJ achana na propaganda za magazeti ya udaku. Nchi hii hakuna mwanaume anayejua kumpenda na kumlinda mke wake kama mkurya, wala asikudanganye mtu katika hilo.
Kwanza ukiwa na mimi una uhakika wa ulinzi asilimia 100, hakuna mtu wa kukugusa wala kukusogelea ama kukuchokoza. Babu Asprin mwenyewe analitambua hilo na ndio maana anakuleta katika mikono salama.

Hilo la wewe kuwa mbishi lisikupe wasiwasi kwakuwa nilipokuwa jandoni nilifundishwa namna ya kuhandle mwanamke, hata awe na tabia ya namna gani ninao uwezo wa kumhandle bila maumivu yoyote. Na kama hutojali naweza kukusindikiza hadi salon, ukimaliza kupendezeshwa unanivutia waya nakuja kukuchukua.
 
Last edited by a moderator:

Huo ushungi niliovaa unahalalisha wake wanne so wawili si issue wala sina wivu wowote
 
Ha ha haa kweli mapenzi ni upofu.
Huyu jamaa unayemlilia hapa si ametangaza waziwazi kwamba yeye na Yummy hata kwa ndumba hawaachani? mi nilikuwa natoa ushauri wa bure tu, ukitaka unaacha!!!
Tatizo lako we Mwita Maranya hapo unataka Dena Amsi achukie mmewe ili we uchukue nafasi.
 
Last edited by a moderator:
Tatizo lako we Mwita Maranya hapo unataka Dena Amsi achukie mmewe ili we uchukue nafasi.

Hapana Blue G mimi huyo ni shemeji yangu na haiwezi kutokea nikachukua nafsi kwani hata yeye hawezi kukubali kuuvunja ushemeji wetu.
Kama unavyojua tena babu Asprin amenishauri nijielekeze kwako, na mimi sina sababu ya kushindana na mzee mzima.
 
Last edited by a moderator:
Huo ushungi niliovaa unahalalisha wake wanne so wawili si issue wala sina wivu wowote

Mwambie wife kuwa huna wasi wasi na mimi na hata kwa greda hapa hutoki aise
Mwaka huu tutasherehekea miaka kumi ya kuwa pamoja aise Dena Amsi
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haa kweli mapenzi ni upofu.
Huyu jamaa unayemlilia hapa si ametangaza waziwazi kwamba yeye na Yummy hata kwa ndumba hawaachani? mi nilikuwa natoa ushauri wa bure tu, ukitaka unaacha!!!

Unaongea umekariri au unaelewa?? Yummy muulize vizuri akueleze kuwa yeye ni mdogo kwangu. Mimi Dena Amsi na Yummy(my lovely mdogo(mke mwee)) ni wakeze Mr Rocky na ndoa yetu ina upendo na ushirikiano mkubwa.

Ni tumaini langu kuwa bwan shem Mwita Maranya utakua umelisikia jibu kwa HERUFI KUBWA.......asante sana kwa kuheshimu ndoa yetu,senkyuuuu.
 
Last edited by a moderator:
Huo ushungi niliovaa unahalalisha wake wanne so wawili si issue wala sina wivu wowote

Ewaaa sasa hapo ndio nimekupata vizuri shem, na kwa hali hiyo ninakuruhusu na kuku encourage kuendelea kupigania penzi lako kwa Mr Rocky.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…