Mpaka hapo kashachemsha
mtu anatongoza toka mwezi januari mpaka leo hajapata
KARIA kaogee vumbi aise
Dena Amsi achana na babu
Asprin bana anakuonea wivu mpaka roho inataka kutoka
Yummy acha ukigeugeu mara leo uko lushoto kesho uko mbeya
Erickb52 we wivu utakuua utapata brain konkosheni very soon
Asprin wazee wazima huwa hawabishani kwenye umati mbele ya watoto kama akina
KARIA na
Erickb52 mambo yetu huwa tunamalizia kwenye viti virefu na tunashikana mikono ya amani
Ukibishana hapa akina
Erickb52 wanapata wasi wasi