Hebu nikuulize.Hivi we Mwita Maranya unatokea kule kwa akina tatamura nitakugecha,au jina tu, hebu nitoe wasiwasi basi.
khaaa huyo kiboko sasas alipeleka wapi?
mwaJ achana na propaganda za magazeti ya udaku. Nchi hii hakuna mwanaume anayejua kumpenda na kumlinda mke wake kama mkurya, wala asikudanganye mtu katika hilo.
Kwanza ukiwa na mimi una uhakika wa ulinzi asilimia 100, hakuna mtu wa kukugusa wala kukusogelea ama kukuchokoza. Babu Asprin mwenyewe analitambua hilo na ndio maana anakuleta katika mikono salama.
Hilo la wewe kuwa mbishi lisikupe wasiwasi kwakuwa nilipokuwa jandoni nilifundishwa namna ya kuhandle mwanamke, hata awe na tabia ya namna gani ninao uwezo wa kumhandle bila maumivu yoyote. Na kama hutojali naweza kukusindikiza hadi salon, ukimaliza kupendezeshwa unanivutia waya nakuja kukuchukua.
Khaaaaaaa ulikuwa hujashtuka?basi mwenzio sio misifa hiyo kukukshtua najiona ka mkombozi vile.Mpe vidonge vyake Blue G maana hata mimi umenifumbua macho nilikuwa sijashituka thanks
Hebu nikuulize.Hivi we Mwita Maranya unatokea kule kwa akina tatamura nitakugecha,au jina tu, hebu nitoe wasiwasi basi.
Khaaaaaaa ulikuwa hujashtuka?basi mwenzio sio misifa hiyo kukukshtua najiona ka mkombozi vile.
Ni tumaini langu kuwa bwan shem Mwita Maranya utakua umelisikia jibu kwa HERUFI KUBWA.......asante sana kwa kuheshimu ndoa yetu,senkyuuuu.
Helo my dears
kwanza nianze na story hii
juzi nilienda kwenye kitchen party ya rafiki .wakati wa zawadi mamayake kumbe alienda china kafungasha contena lina kila kitu cha ndani kilazagazaga
vitanda,magodoro ,sofa ,majiko ,friji ,radio ,matv, taulo yaaanikila kitu ambacho kinatakiwa kiwe ndani ya nyumba ya mtu hadi kijiko
kijana aliemuoa huyo dada ni mtu wa kawaida tu kwa kweli ,hata kujenga bado
sasa najiuliza hili limekaaje wadau
hivi ni sawa kwa mwanamke ukiolewa kwenda na kila kitu kwamume au ni vizuri kwenda na begi lako la nguo tu?
Sasa na we Mwita Maranya uwe unafikia mahali unaeleweka sa ndo nini hivyo mboma mwaJ umemmwagia verse zote hizo wakati mi hamna hata moja????????sasa unafikiri nitaingiaje lain????mwaJ achana na propaganda za magazeti ya udaku. Nchi hii hakuna mwanaume anayejua kumpenda na kumlinda mke wake kama mkurya, wala asikudanganye mtu katika hilo.
Kwanza ukiwa na mimi una uhakika wa ulinzi asilimia 100, hakuna mtu wa kukugusa wala kukusogelea ama kukuchokoza. Babu Asprin mwenyewe analitambua hilo na ndio maana anakuleta katika mikono salama.
Hilo la wewe kuwa mbishi lisikupe wasiwasi kwakuwa nilipokuwa jandoni nilifundishwa namna ya kuhandle mwanamke, hata awe na tabia ya namna gani ninao uwezo wa kumhandle bila maumivu yoyote. Na kama hutojali naweza kukusindikiza hadi salon, ukimaliza kupendezeshwa unanivutia waya nakuja kukuchukua.
Haaaaaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaaaa acha nicheke kwa starehe mie.Hata leo una like zangu nyingi tu kila upoint ukiumwaga nagonga like
kama ndo hivyo naomba anisahau mambo ya kukandana na maji ya moto kuwa ndo staili ya kuonyesha malavdav siyawezi.si unawajua watu wa pande hizo walivyo kupigwa ndo mapenzi.Huko huko namjibia maana napafahamu hadi kwao
Blue G hii ni chapa halisi kutoka huko huko unakokufahamu. Wasiwasi wangu ni kwamba huenda unasoma sana magazeti ya udaku na unayaamini.Hebu nikuulize.Hivi we Mwita Maranya unatokea kule kwa akina tatamura nitakugecha,au jina tu, hebu nitoe wasiwasi basi.
Shemeji naweee, kusoma hujui hata picha huoni khaa!
Haya bwana ngoja na mi nifanye uchunguzi.halafu niwaombe Asprin Katavi na Kongosho wanisaidie umesikia eeeehhhhhhh.Blue G hii ni chapa halisi kutoka huko huko unakokufahamu. Wasiwasi wangu ni kwamba huenda unasoma sana magazeti ya udaku na unayaamini.
Ukitaka raha maishani mwako kuwa na mkurya, na to be specific usiipoteze nafasi hii uliyofanikiwa kuipata.
kama ndo hivyo naomba anisahau mambo ya kukandana na maji ya moto kuwa ndo staili ya kuonyesha malavdav siyawezi.si unawajua watu wa pande hizo walivyo kupigwa ndo mapenzi.