Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Hapana Blue G mimi huyo ni shemeji yangu na haiwezi kutokea nikachukua nafsi kwani hata yeye hawezi kukubali kuuvunja ushemeji wetu.
Kama unavyojua tena babu Asprin amenishauri nijielekeze kwako, na mimi sina sababu ya kushindana na mzee mzima.
Hebu nikuulize.Hivi we Mwita Maranya unatokea kule kwa akina tatamura nitakugecha,au jina tu, hebu nitoe wasiwasi basi.
 
Last edited by a moderator:
mwaJ achana na propaganda za magazeti ya udaku. Nchi hii hakuna mwanaume anayejua kumpenda na kumlinda mke wake kama mkurya, wala asikudanganye mtu katika hilo.
Kwanza ukiwa na mimi una uhakika wa ulinzi asilimia 100, hakuna mtu wa kukugusa wala kukusogelea ama kukuchokoza. Babu Asprin mwenyewe analitambua hilo na ndio maana anakuleta katika mikono salama.

Hilo la wewe kuwa mbishi lisikupe wasiwasi kwakuwa nilipokuwa jandoni nilifundishwa namna ya kuhandle mwanamke, hata awe na tabia ya namna gani ninao uwezo wa kumhandle bila maumivu yoyote. Na kama hutojali naweza kukusindikiza hadi salon, ukimaliza kupendezeshwa unanivutia waya nakuja kukuchukua.

Ndugu yangu, mwaJ asipoitika labeka kwenye hili shairi nakusihi usiendelee tena. Unawewa ukawa si mpamgo wa Mungu

Bado kuna hawa hapa: snowhite, Catherine na gfsonwin. Sema umtakaye nikufanyie mpango. Mi na wewe tumetoka mbali bana.

DSC_0624.JPG
 
Last edited by a moderator:
Asprin njoo pande hii uone hii makitu hapa 'MKUU' hahahaaaaaaaaa
Kwahiyo huyo naye ushamkubalia? Naona unaniitaita kila mara... Unataka nibadilishe mawazo nikurudishe nyumbani? Tubu na kuiamini injili kwanza!
 
Ni tumaini langu kuwa bwan shem Mwita Maranya utakua umelisikia jibu kwa HERUFI KUBWA.......asante sana kwa kuheshimu ndoa yetu,senkyuuuu.

Afadhali nimeendelea kujiongezea mashemeji, nimekusoma vizuri sana shem wangu Yummy mimi sina neno la husda juu ya ndoa yenu, sema tu dadaako Dena Amsi alikuwa hajanitonya kwamba yeye ni muumini wa mitala.
 
Last edited by a moderator:
Helo my dears
kwanza nianze na story hii
juzi nilienda kwenye kitchen party ya rafiki .wakati wa zawadi mamayake kumbe alienda china kafungasha contena lina kila kitu cha ndani kilazagazaga
vitanda,magodoro ,sofa ,majiko ,friji ,radio ,matv, taulo …yaaanikila kitu ambacho kinatakiwa kiwe ndani ya nyumba ya mtu hadi kijiko
kijana aliemuoa huyo dada ni mtu wa kawaida tu kwa kweli ,hata kujenga bado
sasa najiuliza hili limekaaje wadau
hivi ni sawa kwa mwanamke ukiolewa kwenda na kila kitu kwamume… au ni vizuri kwenda na begi lako la nguo tu?

Mazingaombwe hayo, kijana lazima ameshikwa masiko ili asichomoe. Unajua siku hizi lazima mtu uwe na mikakati jenga. Ukiona watoto wanaanza kudoda nyumbani kwako, unatangaza atayakayemuoa namjengea nyumba ili msipate tabu. Akina wanaume wakongo utawaona wanakimbilia. Hizi ndoa hizi za siku hizi watch out! tutaishia kuzaa watoto wa mitaani.
 
mwaJ achana na propaganda za magazeti ya udaku. Nchi hii hakuna mwanaume anayejua kumpenda na kumlinda mke wake kama mkurya, wala asikudanganye mtu katika hilo.
Kwanza ukiwa na mimi una uhakika wa ulinzi asilimia 100, hakuna mtu wa kukugusa wala kukusogelea ama kukuchokoza. Babu Asprin mwenyewe analitambua hilo na ndio maana anakuleta katika mikono salama.

Hilo la wewe kuwa mbishi lisikupe wasiwasi kwakuwa nilipokuwa jandoni nilifundishwa namna ya kuhandle mwanamke, hata awe na tabia ya namna gani ninao uwezo wa kumhandle bila maumivu yoyote. Na kama hutojali naweza kukusindikiza hadi salon, ukimaliza kupendezeshwa unanivutia waya nakuja kukuchukua.
Sasa na we Mwita Maranya uwe unafikia mahali unaeleweka sa ndo nini hivyo mboma mwaJ umemmwagia verse zote hizo wakati mi hamna hata moja????????sasa unafikiri nitaingiaje lain????
 
Last edited by a moderator:
Huko huko namjibia maana napafahamu hadi kwao
kama ndo hivyo naomba anisahau mambo ya kukandana na maji ya moto kuwa ndo staili ya kuonyesha malavdav siyawezi.si unawajua watu wa pande hizo walivyo kupigwa ndo mapenzi.
 
Hebu nikuulize.Hivi we Mwita Maranya unatokea kule kwa akina tatamura nitakugecha,au jina tu, hebu nitoe wasiwasi basi.
Blue G hii ni chapa halisi kutoka huko huko unakokufahamu. Wasiwasi wangu ni kwamba huenda unasoma sana magazeti ya udaku na unayaamini.
Ukitaka raha maishani mwako kuwa na mkurya, na to be specific usiipoteze nafasi hii uliyofanikiwa kuipata.
 
Last edited by a moderator:
Shemeji naweee, kusoma hujui hata picha huoni khaa!

Tatizo ni kwamba dadaako kuna kitu alijaribu kunidanganya, sasa nikajikuta namtetea kumbe ndio naharibu. Picha nimeiona shem sasa tuko ukurasa mmoja. mwaJ ameniaga anakwenda salon sijui kama umemuona akirudi?
 
Last edited by a moderator:
Blue G hii ni chapa halisi kutoka huko huko unakokufahamu. Wasiwasi wangu ni kwamba huenda unasoma sana magazeti ya udaku na unayaamini.
Ukitaka raha maishani mwako kuwa na mkurya, na to be specific usiipoteze nafasi hii uliyofanikiwa kuipata.
Haya bwana ngoja na mi nifanye uchunguzi.halafu niwaombe Asprin Katavi na Kongosho wanisaidie umesikia eeeehhhhhhh.
 
Last edited by a moderator:
kama ndo hivyo naomba anisahau mambo ya kukandana na maji ya moto kuwa ndo staili ya kuonyesha malavdav siyawezi.si unawajua watu wa pande hizo walivyo kupigwa ndo mapenzi.

Nilishakuonya mapema kwamba usipende kusoma magazeti ya udaku na kuyaamini. Hata sijamaliza kuzungumza tayari umeshaanza kuharibu hali ya hewa. Halafu huyo Dena Amsi anakudanganya tu ili usifaidi vinono ndio maana kaamua kukuongopea.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom