Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Kwenda kwa mumeo na vitu vyote au kwenda na begi?

Sasa na we Mwita Maranya uwe unafikia mahali unaeleweka sa ndo nini hivyo mboma mwaJ umemmwagia verse zote hizo wakati mi hamna hata moja????????sasa unafikiri nitaingiaje lain????

Ha ha haaa Blue G umeshaanza wivu mara hii tu! usikonde mtu wangu nakuandalia verse za kipekee hadi utashindwa kuamini macho yako.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu yangu, mwaJ asipoitika labeka kwenye hili shairi nakusihi usiendelee tena. Unawewa ukawa si mpamgo wa Mungu

Bado kuna hawa hapa: snowhite, Catherine na gfsonwin. Sema umtakaye nikufanyie mpango. Mi na wewe tumetoka mbali bana.

DSC_0624.JPG

Mzee mzima Asprin hebu tuliza mzuka kidogo maana sasa utanichanganya, wale wawili uliokuwa umependekeza naona mazungumzo yameanza na yanaendelea vizuri, sasa ngoja tufikishane mwisho ndipo tuangalie kama kuna ulazima wa kuangaza macho kwingine.
Btw, unajua siku nyingi sana ninamu-admire gfsonwin basi tu sijawahi kukutana nae japo nimsalimie tu.
 
Tatizo ni kwamba dadaako kuna kitu alijaribu kunidanganya, sasa nikajikuta namtetea kumbe ndio naharibu. Picha nimeiona shem sasa tuko ukurasa mmoja. mwaJ ameniaga anakwenda salon sijui kama umemuona akirudi?

Hajarudi bado kapitia kununua kiwalo cha mtoko wenu wa jioni.......... mwaJ harakisha baba anakusubiri nyumbani
 
Last edited by a moderator:
Mzee mzima Asprin hebu tuliza mzuka kidogo maana sasa utanichanganya, wale wawili uliokuwa umependekeza naona mazungumzo yameanza na yanaendelea vizuri, sasa ngoja tufikishane mwisho ndipo tuangalie kama kuna ulazima wa kuangaza macho kwingine.
Btw, unajua siku nyingi sana ninamu-admire gfsonwin basi tu sijawahi kukutana nae japo nimsalimie tu.
Hahahaha..... ukitaka kuonana na gfsonwin, wasiliana na mimi.
 
Last edited by a moderator:
Blue G hii ni chapa halisi kutoka huko huko unakokufahamu. Wasiwasi wangu ni kwamba huenda unasoma sana magazeti ya udaku na unayaamini.
Ukitaka raha maishani mwako kuwa na mkurya, na to be specific usiipoteze nafasi hii uliyofanikiwa kuipata.

Upate mkurya wa mjini sio wale wakuja kama wa kule .....kule ukonga.......karibu na gongo la mboto utachezea kipigo kuonyeshwa mapenzi
 
Nilishakuonya mapema kwamba usipende kusoma magazeti ya udaku na kuyaamini. Hata sijamaliza kuzungumza tayari umeshaanza kuharibu hali ya hewa. Halafu huyo Dena Amsi anakudanganya tu ili usifaidi vinono ndio maana kaamua kukuongopea.

Habari ndo hiyo unajua nawafahamu mlivyo acha kubisha..........
 
mwaJ achana na propaganda za magazeti ya udaku. Nchi hii hakuna mwanaume anayejua kumpenda na kumlinda mke wake kama mkurya, wala asikudanganye mtu katika hilo.
Kwanza ukiwa na mimi una uhakika wa ulinzi asilimia 100, hakuna mtu wa kukugusa wala kukusogelea ama kukuchokoza. Babu Asprin mwenyewe analitambua hilo na ndio maana anakuleta katika mikono salama.

Hilo la wewe kuwa mbishi lisikupe wasiwasi kwakuwa nilipokuwa jandoni nilifundishwa namna ya kuhandle mwanamke, hata awe na tabia ya namna gani ninao uwezo wa kumhandle bila maumivu yoyote. Na kama hutojali naweza kukusindikiza hadi salon, ukimaliza kupendezeshwa unanivutia waya nakuja kukuchukua.
Mwita Maranya nimesharudi ngoja nitafakari maelezo yako na kwenda kupata data polisi na hospitali kuhusu matukio ya kupigwa wanawake. Baada ya hapo ntaongea na babu Asprin kuhusu uamuzi wangu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa na we Mwita Maranya uwe unafikia mahali unaeleweka sa ndo nini hivyo mboma mwaJ umemmwagia verse zote hizo wakati mi hamna hata moja????????sasa unafikiri nitaingiaje lain????

Mdogo wangu Blue G wala usipate shida hizo verse zake mie wala hazinishtui la muhimu nihakikishiwe kuwa yeye ni mkurya tofauti hapigi wala hatishii panga. Kama we huogopi ngeu nikuachie tu nisijisumbue kufanya uchunguzi.
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wangu Blue G wala usipate shida hizo verse zake mie wala hazinishtui la muhimu nihakikishiwe kuwa yeye ni mkurya tofauti hapigi wala hatishii panga. Kama we huogopi ngeu nikuachie tu nisijisumbue kufanya uchunguzi.
mimi tena nisiogope ngeu na hivi na mi ndo nna hako ka ubishi kama kako na kakiburi ka kuibia? afu uoga, sasa ndo usipime.ndo maana niko makini sana kwenye uchaguzi wangu nisije nikaangukia pua da mwaJ.
 
Last edited by a moderator:
Upate mkurya wa mjini sio wale wakuja kama wa kule .....kule ukonga.......karibu na gongo la mboto utachezea kipigo kuonyeshwa mapenzi

shem mbona fitna imezidi, kulikoni? hutaki na miye nipate mtu wa kuni-handle with care!?
 
Mwita Maranya nimesharudi ngoja nitafakari maelezo yako na kwenda kupata data polisi na hospitali kuhusu matukio ya kupigwa wanawake. Baada ya hapo ntaongea na babu Asprin kuhusu uamuzi wangu.

Hakuna shaka mtarajiwa wangu mwaJ we nenda kokote unakotaka isipokuwa kwa Dena Amsi, huyu pamoja na kuwa shemeji yangu lakini nimemstukia ana hila ndani ya moyo wake.
 
Last edited by a moderator:
mimi tena nisiogope ngeu na hivi na mi ndo nna hako ka ubishi kama kako na kakiburi ka kuibia? afu uoga, sasa ndo usipime.ndo maana niko makini sana kwenye uchaguzi wangu nisije nikaangukia pua da mwaJ.
Blue G Uoga wako ndio umasikini wako, dare to take a risk my dear ili mambo yako yakunyookee!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom