Kwenda mbinguni kumuona Baba siyo kwa njia ya Betting muelewa hilo

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Kuna watu wanadanganyana eti kwenda mbinguni ni kubet.

Hivi logic ya mpako wa wagonjwa nini? Kwamba unaweza kubet dakika za mwisho ukapaa kwma kwa zari?

Logic ya kutubu dhambi ni nini? Kwamba unaweza kutendq dhambi kama kuzini, kuua nk halfu ukaendq ku bet na automatically ukaend mbinguni? Mbona mnadanganyana jamani.

Kwendq mbinguni ni clean sheet since birth.
 
Mkuu achana na habari za mbingu, nipe odds 3 za uhakika, Maana mi mimeelewa neno betting tu.
 
Kuna watu wanadanganyana eti kwenda mbinguni ni kubet.

Hivi logic ya mpako wa wagonjwa nini? Kwamba unaweza kubet dakika za mwisho ukapaa kwma kwa zari?

Logic ya kutubu dhambi ni nini? Kwamba unaweza kutendq dhambi kama kuzini, kuua nk halfu ukaendq ku bet na automatically ukaend mbinguni? Mbona mnadanganyana jamani.

Kwendq mbinguni ni clean sheet since birth.
Sio lazima iwe clean sheet since day one uliyozaliwa bali ni kuishi maisha matakatifu ukiwa na nguvu zako
 
Back
Top Bottom