Kwenu JF wajuaji, katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na haya meneno "CHUDAI" na "WATAA" yana maana gani?

unatumia simu kwa shughuli gani usiku huu wa manane hadi umekuta hayo maneno ? 😀

inaonekana unachofanyaga usiku huu ishakuwa tabia sugu
Nilikuwa napitapita tu kuangalia habari fulani mjini X sasa nakutana na post au comments zina hayo maneno na sio mara ya kwanza.

Nimekuwa nikijiuliza mara kwa mara leo nikaona nililete hili kwenu

Na nimeleleta hapa MMU kwa sababu leo ndiyo nimegundua kwenye post za mahusiano huwa yanatumika sana
 
kuwa muwazi ulikuwa unatumia simu kwa shughuli gani hadi ukakutana na hayo maneno.

huna haja ya kuona aibu, ni kawaida kwa wakataa ndoa kama wewe


 
Chudai ni video za faragha za wahindi na watu wa Nepal , huu ni msemo mashuhuri huko mjini xtwitter, kwa wale wafuatiliaji wa hivyo vigongo wanafahamu hili kwa uzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…