Kwenu JF wajuaji, katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na haya meneno "CHUDAI" na "WATAA" yana maana gani?

Kwenu JF wajuaji, katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na haya meneno "CHUDAI" na "WATAA" yana maana gani?

Wazee wa kukwea mnazi mnajiteteaga sana 😂😂

Rudi jukwaa la international utupe habari za China, majukwaa mengine utajiumbua kama hivi
🤣🤣🤣 kwa hiyo mkuu umenikataa na kama haitoshi umeniweka kwenye kundi la wakwea minazi kama dronedrake
 
Back
Top Bottom