Kwenu madada ambao hamjaolewa.

Kwenu madada ambao hamjaolewa.

Hivi ni kwa nini kale ka umri ka kuolewa kakianza kuwaacha acha kuwapita huwa mnamtumainia sana mungu.
Yaani hata post zenu kwenye mitandao ya kijamii huwa ni za kimungu mungu. Hivi ni kwa nini?
Mwenye tatizo hapo ni wewe. Sio wao
 
Aahh si ndio hawa wakiwa sekondari wanasema mchumba wao ni Yesu[emoji23][emoji23] wakifika umri hawajaoelewa wanarudi kwake


ila me natania tu....


Alafu mkuu mbona umefanya kama ndoa ni kitu cha lazima? Kila mtu ana uhuru na maisha yake
Afrika tunashindwa kusonga mbele kwa mambo mengi.
 
Alafu ukijitokeza wanakung'ang'ania eti twende kanisani mchungaji akakuone utadhani huyo mchungaji ndo anaepokea mahari
Ngoja waje...

Wanaamini kwamba wamtumainiapo Mungu, wanakua imara kama mlima sayani na hawatatikisika milele daima...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom