Omuzirambogo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 685
- 751
Kwasababu Mungu sio wa matukio ni wa muda wote. Mtafute Mungu tangu ukiwa mdogo ili uolewe kwa wakatiWewe unateseka na nn mkuu ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwasababu Mungu sio wa matukio ni wa muda wote. Mtafute Mungu tangu ukiwa mdogo ili uolewe kwa wakatiWewe unateseka na nn mkuu ?
Kwasababu Mungu sio wa matukio ni wa muda wote. Mtafute Mungu tangu ukiwa mdogo ili uolewe kwa wakati
Wee! Kuitwa "Mke wa Muzirambogo" ni cheo kikubwa. Utasikia "Sijui ana tatizo gani? Hajaolewa mpaka sasa"Aliyekudanganya kuolewa dili yu wapi?
Ndio wajiongeze la sivyo wataambulia masaliaTatizo huyo bwana bwana ndo kinawafanya wanazidi kuzeeka wakasema bwana atafanya utadhani kama huyo bwana ndo anaeoa
Mwenye tatizo hapo ni wewe. Sio waoHivi ni kwa nini kale ka umri ka kuolewa kakianza kuwaacha acha kuwapita huwa mnamtumainia sana mungu.
Yaani hata post zenu kwenye mitandao ya kijamii huwa ni za kimungu mungu. Hivi ni kwa nini?
Afrika tunashindwa kusonga mbele kwa mambo mengi.Aahh si ndio hawa wakiwa sekondari wanasema mchumba wao ni Yesu[emoji23][emoji23] wakifika umri hawajaoelewa wanarudi kwake
ila me natania tu....
Alafu mkuu mbona umefanya kama ndoa ni kitu cha lazima? Kila mtu ana uhuru na maisha yake
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ambao umewagusa aidha moja kwa moja au wanaelekea ktk hicho kipindi watakunyonyoa mkuu, lazima uvumilie.
Pm iko wazi ?Vipi wewe umeoa ? Ili kupunguza hiyo idadi ya hao wadada walioachwa na kaumri, kama bado tuyajenge basi ili Mimi nisiwe miongoni mwao[emoji3] [emoji3]