Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Kaizer bado sijapata maneno ya kukuambia. By the way Happy coming new year.
 
Last edited by a moderator:
Nina maana kwamba kupenda(pamoja na mambo mengine ya kiuchumi) ndiko kunaweza kumfika mtu akaingia kwenye mchepuko bila kujitambua. Wahenga walisema Mwenye mapenzi haoni ingawa macho anayo..

Very wise indeed. Nilitaka nimkumbushe hayo hayo
 
duh kaazi kweli kweli yahitaji uangalifu sana kukumbuka yote hayo
 
Na we we unachepukaga?

Siku hizi hapana mama.. Halafu wakati mwingine inatubidi tu Kim nana ili kutafuta faraja japo pia naamini kuchepuka sometime sio dili.. Tatizo mchepuko tu anapo demand haki sawa na mwenye mali hapo ndo shida..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Hii thread nilipaswa kuambiwa pm a week before...
seriously................
 
Mkuu Kaizer hii ina apply kwenye jinsia zote au
 
Last edited by a moderator:
kusema kweli, hakuna raha ya mahusiano kama kuwa mpango kando, hasa ukute jamaa ana stress za familia yake, na hakuna kitu kinauma kama kujua mmeo ana mpango kando, nafikiri vigezo na masharti vitazingatiwa
 
nimeikumbuka thread ya lara 1 juu ya ndoa na unafiki uliomo

walimponda lakini alikua right

ankal Kaizer..ile jagamaisa inakusubiri

halafu chama cha nyumba ndogo,mpango wa kando sitaki kuwemo asilani

halafu HHHK umepita hapa kweli?

karibuni kwenye mkesha wa mwaka mpya..bwana awe nanyi!

Mwallu mdogo wangu sijapita hapa nimesahau miwani,happy new year
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom