Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa magonjwa yalivyo mengi ni muhimu kua karibu na mumeo uchunguze kama anachepuka au la. Ukigundua anachepuka, kabla hujakurupuka, jitizame wewe kwanza. Kuna mengi yanamfanya mwanaume achepuke.
Ukigundua una mapungufu ambayo mumeo amejaribu ku share na wewe lkn ukaamua kupotezea, badilika.
Kama umejiangalia na ukaona kila analostahili mumeo kupata toka kwako analipata, ongea nae taratibu.
Wanaume ni wasikivu ukiwa na approach nzuri, ukikurupuka na kua mkali, umemfukuza.
Mengine sitajibu maana ni too personal.
Sent from my iPhone using JamiiForums
12:mpe sifa pale anapokufanya uwe happy..
13: mbusu busu hata hadaharani
14: ukipata nafasi msachi uchukue hela
unanionea mkuu aiseeMiss Chagga wewe ni Shidahhhhhh
Shemdarling.....