Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Kwa magonjwa yalivyo mengi ni muhimu kua karibu na mumeo uchunguze kama anachepuka au la. Ukigundua anachepuka, kabla hujakurupuka, jitizame wewe kwanza. Kuna mengi yanamfanya mwanaume achepuke.
Ukigundua una mapungufu ambayo mumeo amejaribu ku share na wewe lkn ukaamua kupotezea, badilika.
Kama umejiangalia na ukaona kila analostahili mumeo kupata toka kwako analipata, ongea nae taratibu.
Wanaume ni wasikivu ukiwa na approach nzuri, ukikurupuka na kua mkali, umemfukuza.
Mengine sitajibu maana ni too personal.


Sent from my iPhone using JamiiForums

wewe mpuuzi kweli. ina maana mumeo akiwa na mapungufu kwako utachepuka na kuona ndio solution,? nae atatakiwa kuangalia wapi kakosea na akuulize kwa upole? thubutuu yako.
msihalalishe tabia chafu kwa visingizio hapa.
 
Kaizer vipi nyumba ndogo yako inazingatia hayo?
 
Last edited by a moderator:
Mweh Kaizer hii ilinipita ila bado useful hahaaahaa.ama kweli ni kucheza tu na karata

Napita zangu mie
 
Last edited by a moderator:
Mweh Kaizer hii ilinipita ila bado useful hahaaahaa.ama kweli ni kucheza tu na karata

Napita zangu mie

Usipite tu Chocs bila kunisabahi japo kidogo sijui salam yako alinselema au mabadilikooooo?

Halafu mwallu nimekuona umepita hapa...
 
Last edited by a moderator:
Usipite tu Chocs bila kunisabahi japo kidogo sijui salam yako alinselema au mabadilikooooo?

Halafu mwallu nimekuona umepita hapa...


Habar yako Binafsi " samaki haliwi kwa kijiko "
Hiyo ni siri yangu bwana
 
Last edited by a moderator:
Da Asia umeongea kitu muhimu sana kwamba ni wanaume ni wasikivu sana ukiwa na approach nzuri umenigusa.Mimi mwanamke akitaka kunipata songs kwa upole,taratibu na unyenyekevu ameniweza.
 
Back
Top Bottom