Unaweza kuijaribu sumu kwa kuionja kama maziwa pembeni.
Kufa kishujaa ndio mpango mzima.
Michepuko haiepukiki.
Unaweza kuijaribu sumu kwa kuionja kama maziwa pembeni.
Kufa kishujaa ndio mpango mzima.
Michepuko haiepukiki.
miss neddy unasema?michepuko sio dili Kaizer
Hahaaaaaa uwiiiiii yaani nimecheka mie.
Hakyanani hyo mo 4 duh
Mkuu Kaizer naomba niongezee kidogo..
15.Ukipanda kwenye gari kwa wale wenye nayo ukae kiti cha nyuma kwenye tinted manake ma-Bi Wakubwa wengine hawataki tint vioo vya mbele.
16.Hutakiwa kwa namna yoyote ile ku-criticize mmiliki halali kwa muoekano,style wala matendo yake hata kama unayajua kwa kuambiwa au kwa kuona.
17.Muda wa mawasiliano uwe tu pale unapopewa go-ahead ili kuondoa suspicion yoyote kwa mmiliki halali.Utakuwa na uhuru wa kutuma messaga na wassup siku za kazi na wakati wa kazi ila weekend na siku nyingine napokuwa nyumbani please stay away hata kama unaniona online kwenye whatsup
miss neddy unasema?
Mi nimetoa angalizo tu, unamsikiliza Kibonde na slogani yake ya michepuko sio dili, unadhani wangapi wanaifuata?
hahaha christine ibrahim kama umecheka, to me thats the big thing, at least umesmile unaongeza siku za kuishi
This a show of practical experience from a veteran!
Haya majitu hayawezi kutoka kwenye madesa ya kumesa mesa tu (theory).
Mie yangu macho Kaizer!
wapo wanaoifata ingawa ni wachache mmojawapo huyo hapo Mr Rocky anapalilia ndoa yake kila siku ionekane changa
hujamtega tu, mwenyewe tunamjua...
Topic nzuri umetoa maneno mazuri ya nasaha...but after reading this, I just felt nyumba ndogo ni another form ya utumwa fulani. Sorry ladies who are in this situations, hebu tutafute another idea on enterpreneurship sio hii.
miss neddy ni maamuzi tuu aise. Ukiamua kula kondoo chagua aliyenona na ykitaka kuiona ndoa yako ni nzuri ipalilie ifanye ionekane mpya kila siku
Muone bibie kama vile jana yake ndo mmeonana kwa mara ya kwanza na hapo hutatafuta mchepuko ila ukishazembea kidogo kwenye ndoa yako hapo lazima uhesabu mchepuko