Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Unaweza kuijaribu sumu kwa kuionja kama maziwa pembeni.

Kufa kishujaa ndio mpango mzima.

Michepuko haiepukiki.

Mkuu Asprin ukiamua hivyo na itakuwa hivyo na ukiamua kuwa unaweza kuiepuka unaweza kuiepuka
Ni maamuzi tuu na inategemea umeamuaje na nini msimamo wako
 
Last edited by a moderator:
Miss neddy wenyendoa watakuchamba nakupenda we wachie uwanja
 
Mkuu Kaizer naomba niongezee kidogo..

15.Ukipanda kwenye gari kwa wale wenye nayo ukae kiti cha nyuma kwenye tinted manake ma-Bi Wakubwa wengine hawataki tint vioo vya mbele.

16.Hutakiwa kwa namna yoyote ile ku-criticize mmiliki halali kwa muoekano,style wala matendo yake hata kama unayajua kwa kuambiwa au kwa kuona.

17.Muda wa mawasiliano uwe tu pale unapopewa go-ahead ili kuondoa suspicion yoyote kwa mmiliki halali.Utakuwa na uhuru wa kutuma messaga na wassup siku za kazi na wakati wa kazi ila weekend na siku nyingine napokuwa nyumbani please stay away hata kama unaniona online kwenye whatsup
 
captaaaaaaaaaaaaaaain!

Salute brother, noted with thanks
 
This a show of practical experience from a veteran!

Haya majitu hayawezi kutoka kwenye madesa ya kumesa mesa tu (theory).

Mie yangu macho Kaizer!

sasa mkuu Dark City, ukiandika hivi hawa watoto ambao kila siku tunasema wasipochafuka watajifunzaje huoni kama watatoka kapa kabisa? Hivi snowhite umemwona? maana na yeye huwa ana mapractical sana
 
Last edited by a moderator:
wapo wanaoifata ingawa ni wachache mmojawapo huyo hapo Mr Rocky anapalilia ndoa yake kila siku ionekane changa

miss neddy ni maamuzi tuu aise. Ukiamua kula kondoo chagua aliyenona na ykitaka kuiona ndoa yako ni nzuri ipalilie ifanye ionekane mpya kila siku
Muone bibie kama vile jana yake ndo mmeonana kwa mara ya kwanza na hapo hutatafuta mchepuko ila ukishazembea kidogo kwenye ndoa yako hapo lazima uhesabu mchepuko
 
Last edited by a moderator:
Topic nzuri umetoa maneno mazuri ya nasaha...but after reading this, I just felt nyumba ndogo ni another form ya utumwa fulani. Sorry ladies who are in this situations, hebu tutafute another idea on enterpreneurship sio hii.

Wewe ni great thinker na mjasiriamali wa kweli...ukiona fursa unainasa na kwenda zako......!!

Kama michepuko ni watumwa, dawa ni kuingia mtaani na kuchapa life kwa dizaini nyingine....

Karibu kwa babu tujadili hiyo angle mbadala!!
 
miss neddy ni maamuzi tuu aise. Ukiamua kula kondoo chagua aliyenona na ykitaka kuiona ndoa yako ni nzuri ipalilie ifanye ionekane mpya kila siku
Muone bibie kama vile jana yake ndo mmeonana kwa mara ya kwanza na hapo hutatafuta mchepuko ila ukishazembea kidogo kwenye ndoa yako hapo lazima uhesabu mchepuko

word.............. cc Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom