Kwenu mlio Nyumba Ndogo, zingatieni haya kwa uhusiano endelevu

Ngoja kwanza nione kama hii matirio ipo kwenye rasimu ya katiba.

Kama ipo, bila kujali mengine yaliyomo, naipigia kura ya ndio katiba.

Itifaki imezingatiwa.

Ntarudi kwa majumuisho.

ha ha ha nisingekuta hii comment yako basi ningeomba ban mwaka mzima jf
ndo mana kiinua mgongo chako nimekula kimya kimya
 
mkuu naona unatoa mbinu za uchepukaji..toa na za kuepuka uchepukaji (halafu mwandiko wako kama naujua vile).
 
ha ha ha nisingekuta hii comment yako basi ningeomba ban mwaka mzima jf
ndo mana kiinua mgongo chako nimekula kimya kimya

Usisahau nshapata na mafao ya wastaafu wa jumuiya ya Afrika Mashariki. wahi uje ujinome tena. ila safari hii uje without kabisa....
 

cc Kaizer nimekupenda bure da asia

Haya nimekusoma



Well said Da Asia, hasa kwa upande wa pili...ambao niliukwepa makusudi maana kuna theread yake humu ya "the guide"...nonetheless thanks
 
Last edited by a moderator:
Wanaume kumbukeni kua nyumba ndogo ziko smart kushinda nyumba kubwa. Nina imani na nyie mnatekwa sababu hiyo. Tena kama uko busy sana na kazi au biashara, nyumba kubwa imebweteka maana ishaiona ndoa, pete kidoleni, wanajisahau.
Nyumba ndogo busy kufuatilia mambo ya baba yaende vyema. Nyumba ndogo ndio inatafuta shule za watoto wa baba, maongezi pia na baba yanaendana, wakati myumba kubwa iko busy kumueleza baba yaliyojiri ze comedy, nyumba ndogo inamueleza habari za eskrow na ndege iliyopotea.
Mlio kwenye ndoa zingatieni haya pia. Baba anakua busy kiasi hata gazeti kusoma anakosa muda, akija mpe ya maana yaliyojiri kwenye news, sio Joti alichofanya kwenye ze comedy show.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Usisahau nshapata na mafao ya wastaafu wa jumuiya ya Afrika Mashariki. wahi uje ujinome tena. ila safari hii uje without kabisa....

safari hii nina phd ya kula kimya kimya yaani na hili somo la nyongeza la Kaizer babu yaani wewe acha tuu
hivi hukupta fung la escrow
 
Last edited by a moderator:

hapo umenena
 
"Hawara anauma kuliko mke" Kaizer tutaongea vizuri kwenye stuli ndefu kwa sasa ngoja nikitendee haki hiki kibaridi...gadem mazafantazz
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…