Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Inapendeza china ukienda niambie nikuelekeze usije poteaNtaenda nje kibiashara sio Kwa malengo mengine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inapendeza china ukienda niambie nikuelekeze usije poteaNtaenda nje kibiashara sio Kwa malengo mengine
We China ulienda kujifunza Mapishi?Inapendeza china ukienda niambie nikuelekeze usije potea
Duh mkuu una maana gani unaposema ulipata scholarship ila haikuwa na sponsorship?Mi nlipata scholarship ila haikua na sponsorship nikashindwa kwenda nauli tu ilikua sawa na ada hapa bongo
Kuna kupata nafasi na ukajilipia gharama zote mwenyewe, unaweza kupata nafasi na ukalipiwa gharama zote(sponsorship/ufadhili) hadi nauliDuh mkuu una maana gani unaposema ulipata scholarship ila haikuwa na sponsorship?
Ndo iko hivyo mkuuWakati flani tulikua tunaaply scholarships tukawa tunaambiwa ukipata nafasi nenda TCU kuna taratibu zao au kama ulienda bila kupita TCU ukihitimu bas upeleke vyeti TCU wakuthibitishe
Ngumi nilichukua ujuz hong kong kuna mtaa unaitwa mwebepande ni nyama choma tu uho mtaa ila wanachoma mpaka kunguni😂We China ulienda kujifunza Mapishi?
Itakua Hong Kong ya kariakooNgumi nilichukua ujuz hong kong kuna mtaa unaitwa mwebepande ni nyama choma tu uho mtaa ila wanachoma mpaka kunguni😂
China iyo boy sitaki kukuambia kilinikuta nini boyItakua Hong Kong ya kariakoo
Bro tangazo la zayoni huku liona😂🤣Mi nlipata scholarship ila haikua na sponsorship nikashindwa kwenda nauli tu ilikua sawa na ada hapa bongo
lets say wamekataa,utabaki nyumbani tu bila kusoma na huna mwelekeo?Mtoa mada punguza Misinformation.Hiyo habari ya kuangalia jina la chuo ni ushamba ambao saivi umepatiwa ufumbuzi.
Kwa sasa mtu ukitaka kwenda kusoma nje ya nchi itakupasa upite TCU na kwenye baraza lako la taaluma kama unachosomea kina regulatory board.Ukifika huko TCU watakupa go ahead kuwa wanakitambua chuo au laa.
📌📌Mambo ya kwenda kusoma nje kichwa kichwa huku hujui step za kufata ndio hao wameenda kusoma ZAYUNI NA AMAZON COLLAGES za huko nje ya nchi ila wanaficha ukweli na kusingizia uakwamba kusoma nje ya nchi ni kisanga.Huo ni uwongo.
📌📌📌Vijana mkasome acheni uwoga!Cha muhimu uwe na right information na uwende at a right institute huko nje ya nchi.
Acha kuwa rigid kijana.Ukiwa unatoa mifano hakikisha unauhakika na unachosema.lets say wamekataa,utabaki nyumbani tu bila kusoma na huna mwelekeo?
Mm sio rigid,nakufikirisha ata ww mkuu Yaani uhangaike kote afu Dakika ya mwisho upate chuo ,TCU wakikatae je utarudi nyuma kuanza moja ?Acha kuwa rigid kijana.Ukiwa unatoa mifano hakikisha unauhakika na unachosema.
Wewe kwa uwelewa wako unahisi ni sababu gani zinawafanya wakukatalie hicho chuo unachoenda nacho???
Huwenda hujui ulizunguzalo,punguza ujuaji.Mm sio rigid,nakufikirisha ata ww mkuu Yaani uhangaike kote afu Dakika ya mwisho upate chuo ,TCU wakikatae je utarudi nyuma kuanza moja ?
Ngoja nikupe mfano Hapa Bongo tu zipo kozi nyiingi tu kama ukisoma Bila connection hutoboi,na bado zipo hivo watu wasiojua wanaendelea kusoma wakiamini kuwa na chet ni bora kuliko kukaa bila cheti
Sawa naona umekimbia mada kimtindo ,maana sijakujibu kwakubishana nimekujibu kwa hoja....Huwenda hujui ulizunguzalo,punguza ujuaji.
Hata ukiforce ukasome huko Zayuni au Amazoni za huko nje hakuna mtu unamkomoa tofauti na kupoteza muda na pesa zako!!!
Kilimanjaro institute sijui of nnBro tangazo la zayoni huku liona😂🤣
Hatuelewani maana nahisi hujui unachozungumza ila unaenergy ya kubishana😀Sawa naona umekimbia mada kimtindo ,maana sijakujibu kwakubishana nimekujibu kwa hoja....
Dah nili kuwaga nacheka kinyama, sema zayon Ile marketing strategy yao ni 🔥 🔥Kilimanjaro institute sijui of nn
Acha kuangalia ITVDah nili kuwaga nacheka kinyama, sema zayon Ile marketing strategy yao ni 🔥 🔥
We bwege haikuwa itv ni eatv🤣, beside itv ni namba ngapi?Acha kuangalia ITV