Kwenu mnaotaka kusoma degree nje ya nchi kwa malengo ya kuajiriwa Tanzania, Kama chuo hakina umaarufu ni bora usome hapa hapa, Utateseka !

Kwenu mnaotaka kusoma degree nje ya nchi kwa malengo ya kuajiriwa Tanzania, Kama chuo hakina umaarufu ni bora usome hapa hapa, Utateseka !

Mtoa mada punguza Misinformation.Hiyo habari ya kuangalia jina la chuo ni ushamba ambao saivi umepatiwa ufumbuzi.

Kwa sasa mtu ukitaka kwenda kusoma nje ya nchi itakupasa upite TCU na kwenye baraza lako la taaluma kama unachosomea kina regulatory board.Ukifika huko TCU watakupa go ahead kuwa wanakitambua chuo au laa.

📌📌Mambo ya kwenda kusoma nje kichwa kichwa huku hujui step za kufata ndio hao wameenda kusoma ZAYUNI NA AMAZON COLLAGES za huko nje ya nchi ila wanaficha ukweli na kusingizia uakwamba kusoma nje ya nchi ni kisanga.Huo ni uwongo.

📌📌📌Vijana mkasome acheni uwoga!Cha muhimu uwe na right information na uwende at a right institute huko nje ya nchi.
lets say wamekataa,utabaki nyumbani tu bila kusoma na huna mwelekeo?
 
Acha kuwa rigid kijana.Ukiwa unatoa mifano hakikisha unauhakika na unachosema.

Wewe kwa uwelewa wako unahisi ni sababu gani zinawafanya wakukatalie hicho chuo unachoenda nacho???
Mm sio rigid,nakufikirisha ata ww mkuu Yaani uhangaike kote afu Dakika ya mwisho upate chuo ,TCU wakikatae je utarudi nyuma kuanza moja ?

Ngoja nikupe mfano Hapa Bongo tu zipo kozi nyiingi tu kama ukisoma Bila connection hutoboi,na bado zipo hivo watu wasiojua wanaendelea kusoma wakiamini kuwa na chet ni bora kuliko kukaa bila cheti
 
Analysis:
The image shows a screenshot of a discussion on a Tanzanian forum, JamiiForums, regarding the challenges faced by students who pursue degrees abroad with the aim of returning to Tanzania for employment, particularly if their chosen university lacks international recognition or a strong reputation in Tanzania. The title of the thread is in Swahili and roughly translates to:
"To those intending to pursue degrees abroad with the goal of employment in Tanzania: If the university lacks recognition, it's better to study here (in Tanzania); you will struggle."
The ongoing discussion highlights the complexities and potential difficulties faced by students who make this choice. While studying abroad can offer valuable experiences and knowledge, it's crucial to consider the implications for future employment prospects.
Key Points from the Discussion (based on the link):
* Recognition and Reputation: The emphasis is on the importance of choosing a university that is well-regarded and recognized in Tanzania. Employers often prefer graduates from established or well-known institutions.
* Challenges of Unrecognized Institutions: Graduates from universities not recognized in Tanzania may face difficulties in getting their qualifications accredited and may be overlooked for job opportunities.
* Cost vs. Benefit: The financial investment required for studying abroad needs to be weighed against the potential return in terms of employment opportunities in the home country.
* Local Opportunities: The discussion suggests that sometimes, pursuing higher education within Tanzania might be a more practical option, especially if the goal is to work in Tanzania after graduation.
Considerations for Students:
* Research: Thoroughly research universities and their recognition in your home country before making a decision.
* Accreditation: Ensure that the program and institution are accredited by relevant bodies both in the host country and your home country.
* Career Goals: Align your education choices with your career aspirations and consider the specific requirements of employers in your field.
* Networking: Build connections and network with professionals in your field, both locally and internationally.
Disclaimer: This is a brief analysis based on the information provided. It's important to conduct further research and seek advice from education and career counselors before making decisions about studying abroad. The discussion on JamiiForums represents personal opinions and experiences and should be considered as part of a broader research process.


📌📌📌Mambo ya AI hayo haya wale magreat fools( GREAT THINKERS)mambo yenu hayo katika level ya PhD.🙌🙌😂😂😂
 
Mm sio rigid,nakufikirisha ata ww mkuu Yaani uhangaike kote afu Dakika ya mwisho upate chuo ,TCU wakikatae je utarudi nyuma kuanza moja ?

Ngoja nikupe mfano Hapa Bongo tu zipo kozi nyiingi tu kama ukisoma Bila connection hutoboi,na bado zipo hivo watu wasiojua wanaendelea kusoma wakiamini kuwa na chet ni bora kuliko kukaa bila cheti
Huwenda hujui ulizunguzalo,punguza ujuaji.

Hata ukiforce ukasome huko Zayuni au Amazoni za huko nje hakuna mtu unamkomoa tofauti na kupoteza muda na pesa zako!!!
 
Sawa naona umekimbia mada kimtindo ,maana sijakujibu kwakubishana nimekujibu kwa hoja....
Hatuelewani maana nahisi hujui unachozungumza ila unaenergy ya kubishana😀

Labda nikusaidie bwana mdogo.Sababu zitakazo pelekea TCU wakukatalie ni;

1.UBORA WA CHUO.Nchi yetu hata kama ni masikini na tupo thadi wadi😀😀hatuwezi kuruhusu product za ZAYUNI NA AMAZON kutoka nje kuja kutuletea impaired education and skills🤝

2.HUNA VIGEZO VYA KUSOMA DEGREE KATIKA NGAZI YA KITAIFA.Ikiwa hujafikisha CUTOFF POINTS ya principal pass mbili kwa advance level au GPA ya 3.0 kwa equivalent entry. TCU hawawezi kukuruhusu ukasome maana huna vigezo......period!!!

📌📌📌Kwahiyo mtu yoyote aliyekataliwa kupewa barua ya uthibitisho ujue ana kimoja au vyote katika hizo sababu hapo juu.Sawa bwana mdogo.
 
Back
Top Bottom