Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,023
Kwan kufa na umri ni sawa?UMRI inakuwaje privacy!
basi na kufa iwe privacy pia...!
Hahaha kwahyo wenye mishipa ndio wanasema?
Hahahahaahaa[emoji23][emoji23][emoji23]shipa tena, hili la mshipa tu mnaliogopa
Atuandikie doziMtoa mada unataka tutaje umri wetu ili iweje?
Unataka kutupeleka clinic ama?[emoji23]
Tigo yangu majanga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nina madakika mengiii ungekuwa tigo ningekupigia yaani nimecheka
Hahaa!yawezekana etiAtuandikie dozi
Hahaha niache na kibamia changuWenye mishipa wanajifanya wana vibamia
Weka wazi kwa maslahi ya wadau bhanaUmri atimize mwingine..kuumia uumie wewe
Alafu wafaidike nini?Weka wazi kwa maslahi ya wadau bhana
Mhusika pamoja na mdau wake wote hunufaika, hiyo huitwa win-win situationAlafu wafaidike nini?
Mhusika pamoja na mdau wake wote hunufaika, hiyo huitwa win-win situation
Mfano nahitaji kuyajenga na wewe, huoni kuwa naweza pata taabu ama hata kupeperusha ndege kwa kushindwa kupata angle sahihi ya kukuingia?[emoji3][emoji3]
Kabisaa kujua umri wa mtu nayo ni faida..waja bana.
[emoji3][emoji3]Mfano nahitaji kuyajenga na wewe, huoni kuwa naweza pata taabu ama hata kupeperusha ndege kwa kushindwa kupata angle sahihi ya kukuingia?
Umeona mambo yanavyokuwa rahisi km ukiweka hilo jambo wazi eeeh! πππ[emoji3][emoji3]
Kweli kabisa mkuu, nami hapa namuelewesha yna2 juu ya hilo jambo. Unaweza ukajikuta unaanza story za kiutu uzima ukijua unapiga story na mtu mzima mwenzio kumbe ni u-21Ingeweza kusaidia kujitetea huko pm mana angalau ukiona picha unaweza kujiongeza na age ya mtu.
Kila miaka ya wadada ina story zake za kuongea nao.
Kabisa tena na ndio maana baada kujuana na watu baadae story hazipandi tena.Kweli kabisa mkuu, nami hapa namuelewesha yna2 juu ya hilo jambo. Unaweza ukajikuta unaanza story za kiutu uzima ukijua unapiga story na mtu mzima mwenzio kumbe ni u-21