Kwenu nyie madada

Kwenu nyie madada

Ila kweli bhana, masuala ya kujikuta unamtokea mdada ukiamini ni binti tena mbichiii! Kumbe ni mama kubwa sio shwari kabisa. Hebu wekeni umri wenu wazi plz
 
[emoji3][emoji3]

Kabisaa kujua umri wa mtu nayo ni faida..waja bana.
Mfano nahitaji kuyajenga na wewe, huoni kuwa naweza pata taabu ama hata kupeperusha ndege kwa kushindwa kupata angle sahihi ya kukuingia?
 
Ingeweza kusaidia kujitetea huko pm mana angalau ukiona picha unaweza kujiongeza na age ya mtu.
Kila miaka ya wadada ina story zake za kuongea nao.
 
Ingeweza kusaidia kujitetea huko pm mana angalau ukiona picha unaweza kujiongeza na age ya mtu.
Kila miaka ya wadada ina story zake za kuongea nao.
Kweli kabisa mkuu, nami hapa namuelewesha yna2 juu ya hilo jambo. Unaweza ukajikuta unaanza story za kiutu uzima ukijua unapiga story na mtu mzima mwenzio kumbe ni u-21
 
Back
Top Bottom