wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Ifike mahali muwe wawazi kila baada ya mda naona mnajipongeza mara hapy b.day to mee kwenye status mnaandika "asante mungu kwa kunifikisha miaka kadhaa'hapo hamsemi miaka hiyo mliofika mnaficha,kwani mkiwa wawazi kuna shida gani mkisema asante mungu kwa kunifikisha miaka labda 40.. 45..48 au 50 na kuendelea ?
Kuweni wawazi ili sisi wanaume tunapotaka kuja pm tuwe tunajua huyu ni mtu mzima mwenzetu au ni bibi yetu au ni mama yetu ili isijekuwa tunatongoza bibi zetu humu bila kujua.
Kuweni wawazi ili sisi wanaume tunapotaka kuja pm tuwe tunajua huyu ni mtu mzima mwenzetu au ni bibi yetu au ni mama yetu ili isijekuwa tunatongoza bibi zetu humu bila kujua.