PostGE2025 Kwenu nyinyi mnaombeza Augustino Polepole "Kisasi hakina Deadline"

PostGE2025 Kwenu nyinyi mnaombeza Augustino Polepole "Kisasi hakina Deadline"

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mfilisiti

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
460
Reaction score
2,322
Watanzania tunaishi kwa mazoea sana, hata tarehe 29 wengi wenu mlitoa maneno ya kejeli mkisema ni mikwara tu, Je kilitokea nini?? Augstino Polepole amewapa masaa 24 ndugu yake awe amepatikana, kinyume na hapo ni kisasi.

Augustino Polepole hajasema kisasi kitatekelezwa lini.
Kisasi hakina Deadline.

Kwa msisitizo tena Kisasi hakina Deadline, kama umebahatika hata kupita jkt, kuna hii kauli "Ukiona target kwa wakati wako endelea"
Huwezi press trigger ikiwa target hujaipata.
Inaweza ikawa miezi, mwaka na kuendelea.
Kiufupi enyi watawala kwasasa mnao maadui kila kona.
Kaeni kwa pattern.
Kuna muda namuonea huruma huyu aliyejiapisha kwa nguvu. Hata kuonekana hadharani tu itakuwa taabu kweli kweli.

Wassalam.
 
Kila kona, kila kona
..mtoto wa waziri, dc, rc etç ni halali ya kila mtanganyika...hapana makosa ya baba zao wasibebeshwe
kisasi hata kitukuu yumo kwenye chain
 
Maadamu hawajamrudisha ndani ya muda waliopewa basi muda wowote wajiandae kumsikia habari mbaya
 
Watanzania tunaishi kwa mazoea sana, hata tarehe 29 wengi wenu mlitoa maneno ya kejeli mkisema ni mikwara tu, Je kilitokea nini?? Augstino Polepole amewapa masaa 24 ndugu yake awe amepatikana, kinyume na hapo ni kisasi.

Augustino Polepole hajasema kisasi kitatekelezwa lini.
Kisasi hakina Deadline.

Kwa msisitizo tena Kisasi hakina Deadline, kama umebahatika hata kupita jkt, kuna hii kauli "Ukiona target kwa wakati wako endelea"
Huwezi press trigger ikiwa target hujaipata.
Inaweza ikawa miezi, mwaka na kuendelea.
Kiufupi enyi watawala kwasasa mnao maadui kila kona.
Kaeni kwa pattern.
Kuna muda namuonea huruma huyu aliyejiapisha kwa nguvu. Hata kuonekana hadharani tu itakuwa taabu kweli kweli.

Wassalam.
Agustino alidai kuwa Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa.
Huyu bwege asitupotezee muda. Kwanza hana hizo sifa anazojitapa, amekuwa mpiga tantalila tu
 
Kikwete alisema Humphrey Polepole aendelee kushikiliwa
Huyu bwege asitupotezee muda. Kwanza hana hizo sifa anazojitapa, amekuwa mpiga tantalila tu
Muda sio rafiki.. mfumo ni uleule Wait & See wale wapuuzi wanaosema Wait & Watch hawajui hii Wait & See ni philosophy ya Kiongozi nguli wa NCHI za Afrika ipo kwenye vitabu pumbavu.. aliwahi kusema kwamba Nchi za Ulaya na Amerika wao wanapoona kuna hatari au kuna tatizo huchukua hatua kutafuta Suluhishi au Suluhisho ila kwa Nchi za Afrika nyingi viongozi wake kunapotokea tatizo au hatari wao kitu cha kwanza kinachowajia kichwani ni Wait & See hua hawanaga solution.. muone Mwigulu na wengine akiwemo Samuya na Mr. BRN T ni mfano hai wa Viongozi wanaotembea na mfumo wa Wait & See
 
Kila kona, kila kona
..mtoto wa waziri, dc, rc etç ni halali ya kila mtanganyika...hapana makosa ya baba zao wasibebeshwe
Kama baba au mama yake mwizi wa mali za umma na watoto majizi.

Mbuzi hazai farasi.

Ukilikuta toto la waziri, dc, au rc limekukalia vizuri ua tu.
 
Kuna muda namuonea huruma huyu aliyejiapisha kwa nguvu. Hata kuonekana hadharani tu itakuwa taabu kweli kweli.
........Na ikitokea ameonekana, kujilinda kwake na ulinzi wake ni wa gharama kubwa kukaribia ulinzi wa Rais wa Marekani au North Korea au China!

.....Ni kujilinda kwa nguvu zote kwa kuwa ni mwovu na kwa sbb ya uovu wa madhambi yake yamemtia hofu, mashaka na woga Mkuu

.....Hajifunzi kutoka kwa mtangulizi wake John P. Magufuli. Alikuwa mbabe na jeuri kwelikweli na ulinzi wake ulikuwa mkuu kupita kiasi akiogopa kufa. Lakini, aliuwawa na sisimizi tu huko mitaani ktk Zahanati ya Mzena!!

....Mungu Yehova anasema hivi: Mungu mwenyewe asipoilinda nyumba au asipomlinda mtu, basi juhudi zozote afanyazo yeye huyo binadamu Ili kujilinda ni za kazi Bure na hazifai kitu!
 
Back
Top Bottom