NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Mama huyu ni mpumbavu sana, anaanzaje kumkatili mtoto kiasi hiki?
Mtoto siku yake ya kuzaliwa ni siku ya furaha lakini kinachofanyika hapa ni tofauti kabisa.
Mtoto anavutwa, anawekwa sakafuni kwa nguvu, anamwagiwa maji yabaridi na analia kwa nguvu kuonyesha kuchukizwa na kinachoendelea lakini huyu mama imekuwa ni burudani kwake.
Mama alivyo haendani na ujinga anaoufanya, hapa ndo nimekumbuka kauli ya kuwa "na wajinga wanazeeka
"