Halafu kuna watu wameshiba magimbi wanalaumu tukiwapiga vibao hawa viumbe.mama huyu ni mpumbavu sana, anaanzaje kumkatili mtoto kiasi hiki?
mtoto siku yake ya kuzaliwa ni siku ya furaha lakini kinachofanyika hapa ni tofauti kabisa...
Hakuna mzungu mjinga hivi tuache kuwasingiziaMadhara ya kuiga uzungu....