Kwenu vidume mnaojifanya hampendi umbea ila hamkauki celebrities forum

Tatizo lipo hapa wengi wao wanaojifanya wanadiss watu wakileta habari za ubuyu ni wanaume wa mikoani na waleta ubuyu ni wanaume wa Dar sasa zile inferiority complexities zao wanashindwa kujizuia inabidi wazilete hadharani mara ooh mtoto wa kiume hivi mara vile..ndo vile tu hawawezi ishi bila wanaume wa Dar
 
Wajinga tu utadhani huwa wanaitwa wanakuja kama nzi vile
Wengi wao wanapenda habari hizi ...huwa nawashangaa wanataka kupanga cha kuandika kwenye hii forum na kujifanya wako serious wakati kule majukwaa ya uchumi na biashara huwa hawapo...
Hili jukwaa na kumbuka 2012 lilikuwa limepooza sana lakini watu walianza kulibadilisha likachangamka sana kupitia watu wengi sana wakina warumi na wengi waliopita na watu tukapata pakuondolea stress sasa nashangaa watu walivyo wanafiki kumnyanyasa mtanashati wakati analipamba jukwaa.....lakini kiboko yao warumi...Mtanashati asijali sana maana hakuna aliyekuwa ana andamwa kama Warumi humu na wanao muandama kila leo wamo na akinyamaza wana anza kumuulizia... Hata mtanashati akiacha kuleta habari wataanza unafiki wa kumuulizia ...
Kuna wanafiki sana humu...
 
Tatizo lipo hapa wengi wao wanaojifanya wanadiss watu wakileta habari za ubuyu ni wanaume wa mikoani na waleta ubuyu ni wanaume wa Dar sasa zile inferiority complexities zao wanashindwa kujizuia inabidi wazilete hadharani mara ooh mtoto wa kiume hivi mara vile..ndo vile tu hawawezi ishi bila wanaume wa Dar
Ni unafiki tuu yani mtu ana fikiri kumtukana mwenzie kuwa ni mwanamke ndio kutamfanya yeye aonekane mwanaume kamili au kutokuja jf celebrity kutamfanya awe mwanaume zaidi...
Unafiki unatumaliza sana....
 
Leo ndio nimegundua humu jf kuna vidudu na vitumbili
 
Wengi wao wanapenda habari hizi ...huwa nawashangaa wanataka kupanga cha kuandika kwenye hii forum na kujifanya wako serious wakati kule majukwaa ya uchumi na biashara huwa hawapo...
Hili jukwaa na kumbuka 2012 lilikuwa limepooza sana lakini watu walianza kulibadilisha likachangamka sana kupitia watu wengi sana wakina warumi na wengi waliopita na watu tukapata pakuondolea stress sasa nashangaa watu walivyo wanafiki kumnyanyasa mtanashati wakati analipamba jukwaa.....lakini kiboko yao warumi...Mtanashati asijali sana maana hakuna aliyekuwa ana andamwa kama Warumi humu na wanao muandama kila leo wamo na akinyamaza wana anza kumuulizia... Hata mtanashati akiacha kuleta habari wataanza unafiki wa kumuulizia ...
Kuna wanafiki sana humu...
Nakumbuka alikuwepo money stuna alivosepa jukwaa likaota kutu, mwezi unakata hakuna habari na zikija ni comments mbili ubuyu hauna ladha.
Sasa hawa shoga vidawa sijui wanataka nini huku wamuache Hance atuletee burudani
 
Back
Top Bottom