Kwenu vidume mnaojifanya hampendi umbea ila hamkauki celebrities forum

Kwenu vidume mnaojifanya hampendi umbea ila hamkauki celebrities forum

Umbea umbea tu hakuna cha standard wala nini, kisa we huupendi ndo uone haufai, we nakujua unapenda umbea wa WCB
Ah!! Mi sio kwamba napenda umbea wa WCB bali napenda habari za burudani na crew mzima ya burudani huku nikiwa fun wa WCB baada ya King aliyejivika mwenyewe u-King kuzingua! Na usisahau kwamba, sio kila celebrity news ni umbea na hiyo inajibu hoja yako kwamba:
......sasa hampendi umbea jukwaa la story za umbea mmefata nini, mmeambiwa huku kunauzwa vifaa vya bodaboda?
All in all, nafahamu kwamba gossips ni sehemu ya celebrity forum na ndio maana huwezi kunikuta namkejeli mtu kwa kupenda umbea! Nikiona umbea umekaka kidada mno, naupotezea tu... hata kufungua uzi sifungui! Wanaonishangaza ni wale, wanakuta habari ni full celeb news, iwe umbea au vinginevyo, halafu utawasikia "...stori gani hiz!" as if walitarajia wakute habari za siasa kwenye jukwaa la celebs!

Ila Evelyn kama una bf halafu usiku kitandani mnashindana kumegeana ubuyu halafu we unaona poa tu, basi kazi unayo!!
 
Ah!! Mi sio kwamba napenda umbea wa WCB bali napenda habari za burudani na crew mzima ya burudani huku nikiwa fun wa WCB baada ya King aliyejivika mwenyewe u-King kuzingua! Na usisahau kwamba, sio kila celebrity news ni umbea na hiyo inajibu hoja yako kwamba:All in all, nafahamu kwamba gossips ni sehemu ya celebrity forum na ndio maana huwezi kunikuta namkejeli mtu kwa kupenda umbea! Nikiona umbea umekaka kidada mno, naupotezea tu... hata kufungua uzi sifungui! Wanaonishangaza ni wale, wanakuta habari ni full celeb news, iwe umbea au vinginevyo, halafu utawasikia "...stori gani hiz!" as if walitarajia wakute habari za siasa kwenye jukwaa la celebs!

Ila Evelyn kama una bf halafu usiku kitandani mnashdindana kumegeana ubuyu halafu we unaona poa tu, basi kazi unayo!!


Hao wa story gani hizi ndo pimbi nnaowasema
 
Halafu Eve unapendelea kumbe, mbona Penny hujamtetea?! Anatuletea story nzuri na anatutag kabisa, lakini watu wanavyomnanga sasa
 
Hili jukwaa inabidi lifutwe linasababisha viwanda havijengwi na korosho Isinunuliwe...!
 
Sasa kama.mtu akitumia neno sotojo ambalo binafsi nalisikia hata kabla diamond.hajaanza kuimba anasema.anajipendekeza wasafi unataka tukubali tu?
By the way kwani umbea ni kua muongomuongo au mm ndo sielew?
Besides kwani jukwaa la celebrity ni lazima.kuwasingizia?
 
Back
Top Bottom