Kwenu viongozi wa Yanga, Hersi

Kwenu viongozi wa Yanga, Hersi

Club ya kizaramo hiyo haijawahi kuishiwa shughuli.

Mkitoka kwenye mabango zitashonwa khanga na wavaaji wapo hata humu tunawajua.

Mnataka kuwaona hao wavaaji wa kanga ambao watakuwa tayari kuvaa bila kujali jinsia zao?

Basi chunguzeni kwa makini watao reply hii post yangu mtawajua.
Ila Mkuu kile kichapo kilikuwa heavy. Jamaa waliwaotea sana. Sidhani kama ulilala na kupata usingizi siku ile!
 
Timu ndogo inapoifunga kubwa lazima kuwe na excitement kubwa sana.Naamini kwa jinsi walivyoshangazwa,hadi mwakani midomo yao itakuwa inatamka 5 tu.

Wakikuwa wakubwa wataacha kwani watakuwa wamezowea,wataona ni vitu vya kawaida.

We si unaona siku hizi hawazipokei timu ngeni zinazokutana na Mnyama wakija bongo.Wanaanza kuzowea kidogo kidogo.

Wataacha tu bloangu.
 
Club ya kizaramo hiyo haijawahi kuishiwa shughuli.

Mkitoka kwenye mabango zitashonwa khanga na wavaaji wapo hata humu tunawajua.

Mnataka kuwaona hao wavaaji wa kanga ambao watakuwa tayari kuvaa bila kujali jinsia zao?

Basi chunguzeni kwa makini watao reply hii post yangu mtawajua.
5 nyingi wacha muwehuke kwa uchungu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mimi kama mwana Yanga, nafurahi mno kwa ushindi wa tarehe 5 kaa goli 5.

Lakini naona sasa inakua kama si sawa hadi kuchonga mabango na kuliweka kisa goli 5.

It's enough sasa utani uendelee lakini hii inaenda kutufanya kama mazuzu wa huu ushindi.

Mbona simba walitufunga 5 kwenye bonanza la 2012 na goli 4 - 1 hawakuzuzuka kiasi hiki?

It's enough, mimi binafsi naona inakua "too much".

Ishieni hapo hapo kwenye Bango tugange kimataifa mwisho wa mwezi
Na bado, mnara unasoma Manzese leo.
 
Attachments

  • FB_IMG_1700045242071.jpg
    FB_IMG_1700045242071.jpg
    39.7 KB · Views: 1
Plan ya Yanga ni kuhakikisha club haikauki midomoni mwa watu na kupitia mabango hilo wame-win.
media kibao-online, tv, radio, magazet, blogs, vijiweni (daladala, bodaboda, migahawa,tax, pool table, vibanda-umiza), maofisini, sokoni na bar kote huko issue ya mabango imezungumzwa, Hii kibiashara ni bonge moja la Bingo askwambie mtu.

Good enough, hii imefika hadi upande wa simba ref: Aden Rage
Kuna utawala fulan unawekwa, yaan yanga inakuwa kama ipo peke yake
 
Nilikuwa Kenya last week hakuna media yoyote iliyozungumzia huo upuuzi, nilipita hata pale kwa Kagame nako kimya tu, juzi sasa nikashangaa pale kwa Madiba mabosi wa CAF hawana habari kabisa na hizo 5 za Uto [emoji23][emoji23]

Media zote za kwa Madiba zinaijua Simba pekee na zilitangaza na kupiga picha wakati Try Again akipokea tuzo

Cha ajabu hata mhandisi Hersi hakutengewa hata seat pale stadium wala kuitwa kwa jukwaa kupewa heko za 5[emoji23][emoji23]

Mzee hizi media za Mbagara ndio zimewafanya mjione mmezungumziwa kila pahali?

Hiyo supu ya comredi Bashite imeua kabisa bongo za wana Uto [emoji23][emoji23]

Hakika nimeamini wenye akili Uto ni Wawili tu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hata hvyo hatufanyi kwa ajili ya South,Rwanda au kenya
Hii ni bongo tukijadil hapa inatosha
 
Mimi kama mwana Yanga, nafurahi mno kwa ushindi wa tarehe 5 kaa goli 5.

Lakini naona sasa inakua kama si sawa hadi kuchonga mabango na kuliweka kisa goli 5.

It's enough sasa utani uendelee lakini hii inaenda kutufanya kama mazuzu wa huu ushindi.

Mbona simba walitufunga 5 kwenye bonanza la 2012 na goli 4 - 1 hawakuzuzuka kiasi hiki?

It's enough, mimi binafsi naona inakua "too much".

Ishieni hapo hapo kwenye Bango tugange kimataifa mwisho wa mwezi
Kolo kolo koloooooo,Tulia dawa ifanyekazi
 
Tulia dawa iwaingie. kwa hiyo unataka tufuate kile wanachofanya Simba wakifunga 5?. Kila timu na style. VIPI KUINGIA NA JENEZA UWANJANI...! Au hilo hukuliona? Ila YANGA ndio hawana maamuzi yao,wafuate ya mikia?. Kaa hivyo hivyo dawa ukuingie
 
Hizi tano zinawauma sana BATAWAHED nyie na tutazipublish dunia nzima kama itawezekana, nyie endeleeni na slogan yenu ya kujiita wakubwa kinadharia huku vitendo sufuri.

Na msimu huu kwenye champions brek ya kwanza nusu fainali
 
Plan ya Yanga ni kuhakikisha club haikauki midomoni mwa watu na kupitia mabango hilo wame-win.
media kibao-online, tv, radio, magazet, blogs, vijiweni (daladala, bodaboda, migahawa,tax, pool table, vibanda-umiza), maofisini, sokoni na bar kote huko issue ya mabango imezungumzwa, Hii kibiashara ni bonge moja la Bingo askwambie mtu.

Good enough, hii imefika hadi upande wa simba ref: Aden Rage
Kibiashara zaidi!

idea ya kibabe hasa
 
Back
Top Bottom